Darling The secretary.....

mbona hakuna mke bushoke? dear waache washangae mambo ya kizungu
Bibie, hivi huyu Bishanga kishaanza mazoezi? Hilo jimwili si atakuulia kitandani?

fitness.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wala sina haja ya kuyajua !
Sanasana nikiyajua yatanipeleka motoni !
We yajuwe wewe inatosha.
Unajua binadam hata kama unaenda kumuokoa kifo, yeye hua haelewi na hung'ang'ania deathzone!
Angalia kuna waliofungiwa gate, wakaambiwa sasa Mv Bkb imejaa! Lakini wakapanda magari wakaenda kuitangiza Kemondo bay! Wakapanda !
Mavuno yao ..........
The secretary umemsikia jg? anasema eti kesho twende angaza,unaonaje tukimwambia atangulie yeye nasi twaja?
 
Last edited by a moderator:
halafu we Asprin wewe,nasikia siku hizi unatembea na wake za watu Kongosho babu masalukulangwa wa nyanguge unamjua?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom