Dark days 17/03/20...

Monday 25/12 /2025 saaa Tano asubuhi our new story will be out, so stay tune shuhuli inaanza


The last emperor

Introduction.

Now she knows who is her enemy,
now she knows who are the fake friends , the so called friends and enemies
Now she knows it's either her blood or his blood if she wants to be the emperor


She is outnumbered but she has all the numbers, and numbers don't lie, deep she see her self as a new emperor inspite Kuna ugumu kwenye kulifikia Hilo .......... But atleast she has the faith.

Baada ya kuwa shaken many times with the lord of rings......... She came to understand that sometimes it better to bow the master, act like a servant and learn to be the master as the time goes.

One thing she hate was......... she is the boss yaani publically known that she is the top notch of the company!
So why aambiwe what to do, and what not to do?? Where to go... and where not to go. Who to see and whom not to see??????? Aghhhhhhh..... Ilimkera Sana hiiii.

Tena with some guy (the lord of rings) a retired CEO, whom at first was her idol but now a smiling enemy.

It hurted her Very bad to the point she was fustrated! She had limited number of people to trust, sababu she came to realize that........, 98% of all the top main servant in the company ni paid agents wa the lord of the rings.

Movements zake zoote kwa sasa zinapaswa kufanya kwa uangalifu mkubwa with very high calculations. As she knows that she is being watched! She felt like she is in the dome. No freedom to access her powers. at a certain point she came to say enough is enough. She was done with that kind of life. She wanted to retire, lakini atawaambia nini watu??

The one guy whom she thought angemsaidia..... Was handled quietly and very smoothly! What happened ??

So she still remembered one of her guys back in Dubai aliyempa kazi yakufind a way to win against the lord of rings (previously named as born town) the guy is missing, but his ideas and all of his works still on her mind!

She kept on remembering that guy plan. And that plan was very strictly and directive to her....! kwamba ili kuwin the war against the lord of rings, she need to do the followings
she need to find her own new investors for the company or manipulate lord of rings investors to be on her side
Anatakiwa kusafisha the whole secret service in her company,
she need the support of all deep owners of the company and letter to form new deep owners
she needs to be famous among the customers
and last she needs team late CEO on her side(and this is very important)

And all this should be done without the lord of rings to know! It was Funny sababu the guy has all eyes and ears of the company. He knows everything and monitor everything in the company

Still the deja Vu hits her as last time when she started to implement the same plan, the lord of rings cought her. And boom,.....The plan was dead.

She remember last time the flash aliyopewa na the lord of rings yenye lot of her secrecy, personal secrets that alitoshiwa kuwa itakuwa spreaded public na kudamage her own reputation na mbaya zaidi ita demage company reputation kitu kitakacho pelekea awe forced kujiidhuru wadhfawake wa CEO and after that the plan was kumpoteza kabisa.

So she thought of that and abort the plan very fast ...............


So time goes, and there she accepted to lay low, and wants to win back the general master's trust. She wanted to clear the air, she wanted to be seen as a good servant and to make a statement that , what happened was a mistake and she has learned her lesson!

Behind the scene akaaanza upya................



CHAPTER ONE: EPISODE ONE

................
Inaonekana yoga kurudi ni hadi Mwakani 25/12/2025
 
Baada ya kufikishwa hospital doctor alimfanyia vipimo na akapata majibu ya tatizo ambalo linamsumbua na lilikuwa linatatulika coz walikuwa wamewahi lakini doctor alipindisha majibu na kutoa tatizo lingine ambalo ata akuwa nalo timu ya wataalam wakawa wanashugurikia tatizo tofauti na ambalo analo mgonjwa.
Sasa sijui ni kwanini doctor alipindisha majibu ya mgonjwa yule
Ilikuwa mwaka gani hiyo ilitukia?
Ni nchi gani hiyo?

Nani aliye pelekwa hospitali?
Hiyo hospitali aliyopelekwa ilikuwa ya nchi yake au nje ya nchi?
 
Hi
Ilikuwa mwaka gani hiyo ilitukia?
Ni nchi gani hiyo?

Nani aliye pelekwa hospitali?
Hiyo hospitali aliyopelekwa ilikuwa ya nchi yake au nje ya nchi?

Hivi Mgonjwa wa korona anaweza kufanya akaongea kwa ufasaha ili hali yuko Mahututi kama ilivyoeelezwa na m6f sidiefu. Kwa waliowahi kua attend wagonjwa wa corona mkuje ili tuunganishe dots
 
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!

Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!

The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!

Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!

The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?

Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!

The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!

Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? or...


Itaendelea.......


Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...

Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Luhaga Mpina anataka ufanyike Uchunguzi huru juu ya suala hili.
 
So tarehe ikapangwa, mwenyekiti akapewa feed back, preparation zikaanza kufanyika kuelekea kwenye meeting husika!! This is huge!!

The old CEO was very happy kuskia habari hii njema! Since heplaned all this all the way along!! akawaachia kazi vijana wake wamalize mchezo!

Unamkumbuka kijana aliyepewa kazi yakumfanya mwenyekiti wa kampuni pinzani aombe meeting na the targeted CEO

Huyu ni assistant wa mwenyekiti, lakini kimuundo nikama anaushawishi mkubwa sana ndani ya kampuni husika!! Iinspite of him kuwa assistant anaambition ya kuwa owner pia wa kampuni hii!!

So he wantend to play the game well ili at the end of the day achukue uskani!! Huyu aliwahi kuwa kwenye kampuni flani ambayo ni very big company mshindani mkuu zaid wa existing company ya the targeted big boss CEO!

Alifukuzwa Kwenye kampuni hiyo kwa kusnich taarifa za kampuni husika akiwa na lengo hilo hilo ambalo analitaka sasa! Kupindua uongozi

So the old CEO used him that time, na he was using him in the moment!!

Baada ya kutoa taarifa kwa the old CEO alipokea notification haraka kutoka kwa vijana wa the old CEO afike moja ya hotel kubwa ufukweni mwa bahari kwa maelekezo zaid!

One thing the old CEO was good at , ni kuplay the game all along without being noticed!! You know why and how!! He is a well trained spy and a mafia kitambo sanaaaaaaa!! And he has connections

So kwa kijana mtumiwa the Funny thing is, alijua yeye anashiriki kama mtoa taarifa kumbe jamani! He was the one setting the trap without knowing!!

Kijana akaenda kwenye meeting kama notification alivyomwelekeza! he met one of the guys from the other team, akamwambia kwenye hiyo meeting kuna hiz documents mpatie mwenyekiti wako hizo ndio akazipresent kwa the CEO!

Akaambiwa if these docent will be well received, na biashara kufanyika, we apromiising you a best possition in the company!!

Kijana aka smile akazipokea documents zile with exitemt. Ali dream of his position since at the moment ni mtu tu mwenye ushawishi in the company but hana maslahi ya kueleweka

Document zilikuwa zinaonyesha mapendekezo ya how wanaweza fanya joint hizo za kibiashara, kulikuwa na document za aina mbili, one ni bundle of summary ya the whole joint venture, na bundle la pili zilikuwa ni well detailed expalanations on how these two companies may unite and work together and have huge profit in the future!!

So kijana akapewa a litlle bit presentation ya kilichomo mule ili nayeye akatoe presentation kwa mwenyekiti, ingawa pia mwenyekiti alikuwa na prepared issues zake za kumwambia CEO


So he took the documents in bags, nakala mbili, one for them na nyingine ni refernece kwa CEO zikiwa seald!

Kijana aliondoka and He went and present the whole issue kwa mwenyekit! Ile presentation ilimgusa sana mwenyekiti nakumsifia sanaaaa kijana kwa good preparation and presentation!!

Funny thing hakujua muandaaji wa documents zile sio huyo kijana


Tarehe ikafika mwenyekiti na team yake waka chukua flight mpaka nyumbani kwa the boss! Wakapitia protocal zoote na wakawa veryfied kuonana na the CEO maana ulinzi ulikuwa mkali balaaa!!

So ikafika chance these two wakakutana!! Wakaongea for almost four hours, mwenyekiti akamkabidhi nakala ya documents CEO zille seald akamsihi azisome!! Kama kuna sehemu hakuelewa kupitia document zile kuna a very good detailed expalnation ataelewa!!

The meeting was very succesfull!! Kila upande ulitoka na statement ya furaha!! The future was bright kumbe the future was dark!!


So mwenyekiti alibaki na nakala zake and CEO alibaki pia na nakala zake!! Wakati mwenyekiti anarudi, akaamua apitie document zile hasa zile zenye detailed explanation!! Boss akawa anajisomea taratibu.

kafika town vizuri tu!! Ila within two weeks!! Hali ikabadilika! He was Rushed to the hospital but in few days majonziiiiiiii!

The news came back to the CEO, he was shoked mbaya sana!!

Aksed him self how?? Mbona hii kama ile ya wanzo?? he felt vita imemfuata kwake!! Aliandaa statement ya kuguswa na ondoko la mwenyekiti but deep down akaona huu sasa ujinga huu!! He decided kutoka kwake na kurudi town ili aanzishe mashabulizi mwenyewe sasa

So akawasha gari zake from his home to town, njiani anajiandaa kwenda akapata wazo la kuchukua zile documents alizopewa na mwenyekiti azipitie ili akifika town kwa kujali uhusiano mwema awaite representatives wa kampuni hiyo awape pole na wafikie terms


He oppened the documents na kuzipitia pitia mdogo mdogo! But also decided to call kijana wake ampe updates on what is goin on!! Kijana akamsihi boss usije kwanza mambo sio mambo!!

Boss akasema nooo!! Am coming!! I will run the whole opration myself kama umeshindwa!!

Kafika mjini salama!! chakwanza akamuita deep informal!! Akamtuma amuite the old CEO wazungumze!!

Baadae Akamwita kijana wake, akamwambia a trace the phone calls za huyu (deep informal) kwakuwa amempa maelekezo amuite old CEO akitaka amtume akamwakilishe kwenye summit flan ya all companies nje ya nchi!!

Alitaka kujua wataongea nini kwenye simu hizo!! So wakaprepare vijana kufanya ya fuatayo

Mosi :- kutrace movements za informal
Pili :- kurecord all convos!!

Kumbe time was not on their side!! These peope were very smart and carefully!! waliweza kujua plan za team B mapema na kuchukua tahadhari!!

Two days zikakata wthout hard evedence, the ol CEO akachenga kuwa anashida ya kifamilia but atafika soon!! One week ikawa imekata harakati zikiendelea,

Sasa bwana CEO chest pain zikaanza na ganzi flani hivi zisizo eleweka throught his body especially upande wakushoto!! Akalalamika lalamika kwa mwandani wake wakashauriana!!


Akamuita dactari wake, (yule daktari aliye shughulika na kipenzi chake three monthes ago) The doctor after reciving a call from the CEO!! he knew picha limeanza!! So he notified the old CEO. The old CEO called his team!! And said "the first symptoms have begun, stage three should be initiated"

Bwana bwanaaaa!! Mpango wa smooth transfer of power ukaanza!! Since they all know what they have done so far and what is about to go down.................


Deep Informal akapigiwa simu! "You need to get out of the company from today, find any activitiy ukafanye out of the company hakikisha haupo hapo kwenye kampuni kwa siku kadhaa until we tell you so!


The CEO is now sick!! ........
The deep informal is told to stay out!...

Kwanini??, Docta naye je ......


Best and sad part....... Badae!!




Muendelezo Soma Dark days 17/03/20...
Ndo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....
 
Ndo hivyo naamini naye hatakuwa na mwisho mzuri, vipi yule dokta mwingine mbona hasikiki popote au naye alipotezwa namaanisha dr mich...e au ni huyu huyu hili jina lilibuniwa tu kutupoteza maboya sisi vibwengo
Ndiye huyu huyu
Unakumbuka yule kijana snitch aliwahi kuleta taharuki wakati wa the late CEO kuwa huyu prof kazuiliwa mahala? It was short and slight info iliyozimwa haraka sana....

Leo MNH imegeuka chanzo cha mapato ya serikali na siyo pilicy yake ya kuhudumia Taifa.... He is out of his mind
 
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!

Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!

The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!

Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!

The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?

Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!

The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!

Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? or...


Itaendelea.......


Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...

Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
We know all the story and who you are talking about.Kikwete hataishi milele at some time he will have to go either by force or by the will of God.
 
Operations, kama hizi, zilianza around or before 1920s, kwa jina na sababu zingine.

Na kwa nchi za dunia ya tatu, sometimes, wana zicopy na kuzipaste kutoka Latin and Central america kuja Tanzania na Africa.

Deep states za Africa (including Tanzania), ziko influenced na formula za namna hii.


Google:

Operation Gladio: The Unholy Alliance between the Vatican, the CIA, and the Mafia. By Paul L. Williams.

NATO's Secret Armies: Operation GLADIO and Terrorism in Western Europe. By Ganser Daniele.
 
Palestine ni kigiriki cha neno Phillistia/Phillistine.

Hiyo nchi mwanzoni ilikuwa inaitwa Caanan. Baadae ikaitwa Israel. Wacaanan wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.

Wafilisti (wa enzi za Biblia), ni uzao wa Mizraim (ancient Egypt), na ni uzao wa Ham mtoto wa Noah.

Wafilisti wa enzi za Biblia, walihamia hapo, na walichukua eneo dogo sana la nchi ya Canaan. Waliwasogeza kidogo wacaanan, na walikuwa na miji mitano maneo ya pwani ya kusini (mji mojawapo uliitwa Gaza).

Watoto wa Ham ni watu Weusi. Ancient Egypt (Mizraim), ancient Ethiopia (Cush), ancient Libya (Phut), ancient Caanan (Tyre, Sidon, Phoenicia), walikuwa jamii za waafrika weusi na sio waarabu.

Note that alielaaniwa ni Canaan, na sio Ham.

Wapalestina wa leo ni waarabu, na sio wafilisti wa enzi za Biblia.

Waarabu ni watoto wa Shem. Wazungu ni watoto wa Japheth.

Wayahudi na waisraeli wa enzi za Biblia ni watoto wa Eber, ambaye ni uzao wa Shem.

Waarabu wa north Africa, walihamia eneo la north Africa, mainly kwenye karne ya saba na onwards (wakitokea middle east).

Sehemu kubwa ya wayahudi na waisraeli wa leo ni wazungu walioichukua dini ya kiyahudi (sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia), na wengi wao waliichukua dini ya kiyahudi zaidi ya miaka 1,000 iliyopita (na wayahudi wa leo wenye middle eastern origins, wengi wao sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia).

Dini hiyo ya kiyahudi walioichukua sio ile ya Agano la Kale pure, ni imechanganywa na mafundisho potofu mengi sana, na inapotosha na kumpinga vibaya sana Masiha wa kweli ambae ni Bwana Yesu Kristo. Dini ile ya Agano la Kale pure, ingewaleta kwa Bwana Yesu Kristo, na kwenye Agano Jipya.

Caliph Abd al-Malik ibn Marwan hakutakiwa kujenga kitu kwenye Temple mount. Ila alijenga msikiti ambapo ndani yake kuna maandishi yameandikwa ambayo yanaipinga sana Biblia.

Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.

Wayahudi wa leo wanataka kuvunja hiyo misikiti (iliyoko kwenye Temple mount), ili wajenge hekalu la kiyahudi (hekalu la tatu). Hili hekalu la tatu, sio halali kibiblia (ingawa linaungwa mkono kisirisiri na watawala wengi wa nchi za magharibi, including Jesuits na Freemasons).

Na hiyo misikiti kibiblia haitakiwi kabisa kabisa kuwa hapo.

Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.

Ancient Caanan sio nchi ya waarabu, na ancient Israel sio nchi ya waarabu. Na wapalestina wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.

Nadhani wajaribu kutafuta njia ya kusuluhisha huu mgogoro kwa amani, huku wakitambua historia halisi yae eneo hilo.

Na huku Afrika na Tanzania tusiache kupendana kwasababu ya huu mgogoro, ni vizuri tujue historia yake halisi.


Kuhusu historia ya huu mgogoro, soma hiki kitabu, ingawa jamaa anakosea mahali pengine:
Dark Crusade, Christian Zionism and US Foreign Policy, by Clifford A Kiracofe, Jr (Author).


Kuna hiki kingine: The Thirteenth Tribe: The Khazar Empire and its Heritage, Arthur Koestler. Ingawa na huyu nae huenda kakosea mahali pengine.
 
Back
Top Bottom