Daraja la siku 90 Igunga lipo wapi? Wameru Jihadharini na Hadaa za CCM

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
CCM wanachekesha kweli, wanatoa ahadi lakini baada ya kura hawaonekani. Dr Magufuli aliahidi Igunga kuwa ndani ya siku 90 daraja litajengwa na akapiga simu kwa makandarasi. leo karibia mwaka unaisha tangia uchaguzi umefanyika na hakuna kilichofanyika. Mimi nipo Igunga na wananchi wanalalamika kweli. wameru tafadhalini jiepusheni na hila za CCM, huwa wanajua kutukana na kutoa ahadi za uongo ila hawatendi. Go to hell CCM!
 
imeandikwa katika Vitabu vitakatifu ....wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii! Ole wao wana-AruMeru!!!
 
Ntashangaa sana kama Arumeru wataichagua CCM,pamoja na matatizo yote tuliyoletewa na hawa CCM:
 
Huku wametoa ahadi ya kuweka lami barabara ya mifugo ndani ya siku 30,let we c then
 
Dah CCM kweli ni matapeli kwani serikali ni yao lakini hawatimizi ahadi, WANA TABORA KUMBUKENI CCM WALIWAHAIDI MAJI KWA SIKU 100 ! Lakini mpaka leo bado.
TUBADILIKE KWA KUWEKA CHADEMA KWA UJENZI WA TABORA MPYA NA TANZANIA TUNAYOITAKA.
 
Hivi kweli jamani DARAJA LA MGHOFULI kwa wana-Igunga ndani ya siku 90 iko wapi??? Na hili sasa liwe ni fundisho kwa uongo uliokithiri wa chama hiki cha CCM.

Enyi Wana-Arumeru Mashriki katu msidanganyike kitu hata chembe na ahadi za CCM zisizotekelezeka.

Pigieni kura ukombozi kupitia CHADEMA.

CCM wanachekesha kweli, wanatoa ahadi lakini baada ya kura hawaonekani.

Dr Magufuli aliahidi Igunga kuwa ndani ya siku 90 daraja litajengwa na akapiga simu kwa makandarasi. leo karibia mwaka unaisha tangia uchaguzi umefanyika na hakuna kilichofanyika.

Mimi nipo Igunga na wananchi wanalalamika kweli. wameru tafadhalini jiepusheni na hila za CCM, huwa wanajua kutukana na kutoa ahadi za uongo ila hawatendi. Go to hell CCM!
 
CCM wanachekesha kweli, wanatoa ahadi lakini baada ya kura hawaonekani. Dr Magufuli aliahidi Igunga kuwa ndani ya siku 90 daraja litajengwa na akapiga simu kwa makandarasi. leo karibia mwaka unaisha tangia uchaguzi umefanyika na hakuna kilichofanyika. Mimi nipo Igunga na wananchi wanalalamika kweli. wameru tafadhalini jiepusheni na hila za CCM, huwa wanajua kutukana na kutoa ahadi za uongo ila hawatendi. Go to hell CCM!
Maitario acha kuwahaadaa wananchi na wewe, uko Igunga wapi? wewe si uko pale Shule ya uhuru kwenye cafe moja hivi, Ujenzi wa daraja la Igunga unalijulia wapi?
 
Rejao hebu tupia neno la kukitea chama cha CCM kwenye hii thread na mimi nitakuongezea reputation power yako!
 
Maitario acha kuwahaadaa wananchi na wewe, uko Igunga wapi? wewe si uko pale Shule ya uhuru kwenye cafe moja hivi, Ujenzi wa daraja la Igunga unalijulia wapi?

Daraja limejengwa au limejengwa hayo mambo ya kusema Mtairo anakaa wapi hayatahusu sisi...
 
Hivi kweli jamani DARAJA LA MGHOFULI kwa wana-Igunga ndani ya siku 90 iko wapi??? Na hili sasa liwe ni fundisho kwa uongo uliokithiri wa chama hiki cha CCM.

Enyi Wana-Arumeru Mashriki katu msidanganyike kitu hata chembe na ahadi za CCM zisizotekelezeka.

Pigieni kura ukombozi kupitia CHADEMA.

Wana-arumeru msidanganyike na hawa waongo, hawajui lolote kuhusu ujenzi wa Daraja la Igunga. Chagueni Mbunge wenu anaewafaa, istoshe matatizo yenu siyo sawa na yale ya igunga, vile vile msidanganyike na maneno ya wapambe, wana-Igunga waliahidiwa kujengewa Daraja lakini siyo kwa siku 90.
 
Dah CCM kweli ni matapeli kwani serikali ni yao lakini hawatimizi ahadi, WANA TABORA KUMBUKENI CCM WALIWAHAIDI MAJI KWA SIKU 100 ! Lakini mpaka leo bado.
TUBADILIKE KWA KUWEKA CHADEMA KWA UJENZI WA TABORA MPYA NA TANZANIA TUNAYOITAKA.

Hivi "kuahidi" = "kuhaidi?" Naona hili neno "kuhaidi" limeshika kasi sana siku hizi!
 
Hawa jamaa kwa hadaa kiboko, mie nimepita huko Igunga hakuna daraja wala nini, na kwa sasa halipitiki kabisa yaani mpaka uzunguke.
 
Maitario acha kuwahaadaa wananchi na wewe, uko Igunga wapi? wewe si uko pale Shule ya uhuru kwenye cafe moja hivi, Ujenzi wa daraja la Igunga unalijulia wapi?

Basi wewe Masana kama unaweza kumkanusha kwa kutupa maendeleo ya hilo DARAJA HEWA, ungefanya hivyo kuliko kumshambulia Maitario. Kutokana na uongo huu, ndipo nilipomdharau kabisa Dr. Mgufuli, mtu ambaye nilikuwa nimebakiza imani naye kidogo ndani ya CCM. UNAFIKI NI KITU KIBAYA SANA, HASA KWA VIONGOZY:
 
Wana-arumeru msidanganyike na hawa waongo, hawajui lolote kuhusu ujenzi wa Daraja la Igunga. Chagueni Mbunge wenu anaewafaa, istoshe matatizo yenu siyo sawa na yale ya igunga, vile vile msidanganyike na maneno ya wapambe, wana-Igunga waliahidiwa kujengewa Daraja lakini siyo kwa siku 90.

Acgha akili ya matope ww.Unafikiria kwa kichwa au kwa makalio.Tuliambiwa within 90 days only.Ukiahidi lazima kutekeleza au walitaka kura and then makazi yao dar.We need people who will foresee and fulfill their promises but not CCM.Miaka na miaka mambo ni yale yale....
 
Daraja ni migongo ya wana-Igunga. Kafumu kashavuka.

Ndugu yangu Daraja la Mbutu halijajengwa na wala hakuna dalili za kitu kama hicho, Hivi sasa Igunga ndio kuna njaa kwani mahindi yamekauka kwa jua na hakuna cha sembe wala mahindi ya njaa kama yale waliyopewa wakati wa uchaguzi mdogo,

Juzi nimemwona Kafumu kaingia Igunga na ni kama mtu anayejifichaficha hapendi ajulikane kuwa yupo jimboni kwake kwani hajichanganyi na wapiga kura wake kwa vile anajua kuwa wanajua aliiba kura zao na waliwadanganya kama watoto wadogo

Kama wana Arumeru wajifunze kutokana na uongo wa CCM walioufanya kwenye uchaguzi wa Igunga
 
Back
Top Bottom