Dar yote Umeme umekatika

si kuna uranium bongo.D:D:D
Uranium Ipo, hapa tunapaswa kuwaalika Iran waje kuchimba, utaona USA, UK na wakubwa wengine wanakuja kutujengea mitambo ya Nuclear buree, kwa matumizi ya kufua umeme, sisi hatuna mikakati ya kina kisiasa na kiuchumi.
 
kukatika umeme ni jambo ambalo halistuii sana hapa nyumbani, ila kwakawaida wanakata umeme kunapokua na matukio makubwa kama mechi kubwa za mpira, ama kunatukio mnalingojea kwa hamu kwenye vyombo vya habari, umeme Tanzania ni anasa tu, nasikia mtu yoyote pale TANESCO hata mfagiaji anakata tu umeme...
tukio la leo kukatika umeme sehemu kubwa ya nnchi ni tishio kiusalama, kiuchumi na ni usumbufu.kwetu, kama kuna dharula ni vyema ikatangazwa, na watu wakajipanga.
Juma hili linaloisha kumeripotiwa vifo pale hospitali ya Temeke vilivyotokea katika vyumba vya upasuaji baada ya TANESCO kukata umeme kwa makusudi (maana hakuna taarifa hadi leo kwanini walikata) na jenereta za dharula kushindwa kumudu kuhudumia Hospitali nzima....
I totally fail to understand the mind that alleges a mere 'mfagizi' is authorised to switch off umeme, even in an illeterate and non caring nation tht can't happen
I also fail to understand the linkage with big events and shut downs? I pledge that we all post stuff that we can back
Gridi ya taifa iki trip it means its an emergency technical fault it has nothing to do with planned outages that are announced its because of technical faults caused with 220KV transmission line
It can't be announced prior to its happening because its unplanned technical fault, I wish an engineer will get in and try to put some sense in this quote because its beyond imagination to authorise mfagizi, or plan outage on special events
U should know transmission lines are aging, the load is too much and when the coy tries to get thru and rehabilitate and improve dar, tht is isolating the huge load and relieve outage, 'know it all kakobe' stops it for vipaza sauti...do I hear someone shouts traitor!! At me for posting this?? On this case so be it ! Do ur research and speak facts, condemn but praise logically
 
Wabongo bana, is this a breaking nuwz? How many times this event occurs in a yr?

Ni jambo la kawaida sana!!!!!!!!!!!!!!!! ingekuwa brazil ingekuwa ishu waulize grid yao ilipododa kulitokea nn?
 
I totally fail to understand the mind that alleges a mere 'mfagizi' is authorised to switch off umeme, even in an illeterate and non caring nation tht can't happen
I also fail to understand the linkage with big events and shut downs? I pledge that we all post stuff that we can back
Gridi ya taifa iki trip it means its an emergency technical fault it has nothing to do with planned outages that are announced its because of technical faults caused with 220KV transmission line
It can't be announced prior to its happening because its unplanned technical fault, I wish an engineer will get in and try to put some sense in this quote because its beyond imagination to authorise mfagizi, or plan outage on special events
U should know transmission lines are aging, the load is too much and when the coy tries to get thru and rehabilitate and improve dar, tht is isolating the huge load and relieve outage, 'know it all kakobe' stops it for vipaza sauti...do I hear someone shouts traitor!! At me for posting this?? On this case so be it ! Do ur research and speak facts, condemn but praise logically
iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi, na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia. chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo, kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.
 
Hayo ni matokeo ya kufanya kazi kwa mazoea na bila kujali umuhimu wa huduma itolewayo. Ni kweli kwamba sisi kama wateja hatuna hiyari katika kukatika au kutokatika kwa umeme lakini ingekuwa vyema wakatoa taarifa kwa umma, kabla au hata baada ya tatizo kutokea kwa sababu kwa kufanya hivyo angalau itaonyesha kwamba wanawajali wateja wao. Lakini kilichopo sasa ni kana kwamba huduma ya umeme ni offer ambayo tanesco wanawapa wananchi hivyo ukiwepo hayaa, usipokuwepo hayaa na taarifa hakuna.

Kwa kweli hii sio haki na sio mtindo wa kufanya biashara katika dunia hii ya kisasa, vinginevyo maendeleo tutaendelea kuyasikia kwa watu na mataifa mengine tu. Kazi nyingi siku hizi hutegemea umeme, sasa mtu unaondoka nyumbani, unagombea usafiri, unatumia pesa mjini bila sababu wakati ungeweza kukaa tu nyumbani angalau ukabana matumizi ukizingatia kwamba hata kwa kwenda kazini ni hasara tupu.

TANESCO BADILIKENI JAMANI!!
 
Someni mwananchi pg 12 maeneo yameainishwa ndo maana kinondoni haujakatika.
Maeneo mengi umeme utarudi saa 11 mpaka 12 jioni
Thax
Kinondoni ipi mkubwa mbona kuna msela wangu kanipigia simu kaniambia kote umekalasi?

Au ndio mambo ya

Emanuel Makofia
user_online.gif

Emanuel Makofia The prezdaa to come
Senior Member

red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
 
Uranium Ipo, hapa tunapaswa kuwaalika Iran waje kuchimba, utaona USA, UK na wakubwa wengine wanakuja kutujengea mitambo ya Nuclear buree, kwa matumizi ya kufua umeme, sisi hatuna mikakati ya kina kisiasa na kiuchumi.
Kugeuza urafiki uliopo na Marekani kwa uadui yataka moyo. Na nina uhakika aina ya viongozi tulionao hawawezi kufanya hili. Ila kama ingekuwa Marekani kwenyewe ambako "there is no permanent friend but permanent interest for their nation" wangeweza kufanya hili hata kama litasababisha vita lakini kwa maslahi ya taifa lao huwa wako tayari kwa lolote.
 
Morogoro umeathiriwa sana na mvua na upepo jana na hivyo leo maeneo mengi mpaka sasa saa 7 kasorobo hayana umeme.
 
Morogoro umeathiriwa sana na mvua na upepo jana na hivyo leo maeneo mengi mpaka sasa saa 7 kasorobo hayana umeme.
Poleni wadau wenzetu ila am sur ya Kilosa hayawezi kutokea tena
 
Morogoro umeathiriwa sana na mvua na upepo jana na hivyo leo maeneo mengi mpaka sasa saa 7 kasorobo hayana umeme.
Poleni wadau wenzetu ila am sure ya Kilosa hayawezi kutokea tena
 
nIKO Mbezi umeme ulirudi, kisha ukakatika kwa dakika kama 40 HIVI, TUNASHURU UMERUDI TENA...TANESCO bana.
 
Kwani nani kasema kukatika umeme Tanzania ni dharula?

Wewe unaona wadau wenyewe ndiyo kwanza wanashukuru.
 
iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi,for me if they switch off saa saba and switch on saa nane it doesnt mean they are doing it on purpose it means feeder has tripped and it shows in their grid control center ( i had done my field work with them before getting employment ) then all they do is the operator to return teh feeder
na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia.
extra duty allowance is not permittable under the current ELRA unless it is endorsed in company policy, they cant ask for extra duty because the workers are there 24hrs so teh emergency gang will be responsible for rectification
chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo,
i havent heard of this but i think since they have launched their website you can get in www.tanesco.co.tz and post a complaint about it, within 24hrs all complaints are attended to... kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
and i think this is where we get to technicality that, sometimes it is a man made fault fuso linagonga nguzo kimara au mbezi umeme unakatika, huwezi ukazima feeder yote, you will only isolate that specific area and wait for maintenance gang in the morning who are equiped to repair it, otherwise ukiacha wires bare watu watanaswa na umeme..
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
this i agree because they are way advanced and we have ageing network..food for thought
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.
sijapata nafasi ya kukaa nao bar, ila nimepata nafasi ya kufanya nao kazi and i know they cant do that, mpaka umeme uzimwe ni lazima kibali kiombwe na ruhusa itolewe na maelezo ya kina kwa nini umeme unazimwa, kwavile umeme ukizimwa inamaana revenue is lost so people wont just switch off
 
iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi, na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia. chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo, kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.
wabongo bwana kazi kwelikweli, eti IEE regulation inasema hivi mara inasema vile. Hivi kweli kama imetokea labda tusema earth fault kwenye transmission line hiyo IEE utai-apply vipi hapo. Dunia ya kwanza wenzako wana namna nyingi ya kukabiliana na matukio ya dharura kama haya, moja wapo ni kwamba transmission line zao ni double circuit. Power plant zao sio za kizamani kama zetu ambazo ukiwasha generator mpaka uanze process ya ku-sychronise mambo ya frequency na makolo kolo mengine manually. Wenzako mambo yanajipa ki-auto. Hao unaokutana nao bar pengine ni wasoma meter ambao pengine hawajui hata hao watu wanao-control system na transmission wanakofanyia kazi.
 
Uongozi mbaya na hao wanahusika hawalichukulii Suala hilo la Umeme kwa kikamlifu unajuwa Ulaya kama umeme utakatika Masaa 6 basi ujuwe wale wanao husika watachukuliwa hatuwa za kisheria na itabidi Wajiuzulu uongozi wao na hakuna Suala la kukatika Umemem Ulaya kwa Masaa sita lakini hapo kwetu tunakwenda hivyo hivyo Kiswahili Swahili Nchi imeoza jamani Rushwa imezidi,Wizi wa Mali ya Umma umezidi, Ufisadi ndio usiseme Ama kweli (MIAFRIKA YA BONGO NDIVYO ILIVYO)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom