Ili atupeleke kijeshi hata siungi hoja, wale watu sio mchezo hawajua sheria ni amri tu, wanaeza kuamuru tulale saa 1 jioni!. bora huyu DAB tukomae nae apunguze kubania wenzie tuuWakuu JF Amani iwe Nanyi.
Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
Wajeda wengi hutumia nguvu kuliko akili za kawaidaIli atupeleke kijeshi hata siungi hoja, wale watu sio mchezo hawajua sheria ni amri tu, wanaeza kuamuru tulale saa 1 jioni!. bora huyu DAB tukomae nae apunguze kubania wenzie tuu
Umeuliza jawabu , ndio maana katiba hii hii mbovu ya mwaka 1977 inakataza kabisa wanajeshi kujihusisha na siasa .Unamaanisha wanajeshi walioteuliwa , mfano mkoa wa Kagera ni mjumbe wa kamati ya siasa CCM ndani ya Kagera ?
Bas tuna kaz kubwa mbeleniUmeuliza jawabu , ndio maana katiba hii hii mbovu ya mwaka 1977 inakataza kabisa wanajeshi kujihusisha na siasa .
Kwa taarifa yako ni kwamba MADC na MARC wote ni wanaccm , bila kujali magwanda .
Kuna uzi mkubwa sana humu jf uliosheheni ushahidi wa kutosha unaozungumzia jambo hili .Bas tuna kaz kubwa mbeleni
Ndo walishike hili jiji si tutakoma mjini hapa!!..watu gani hawatoi machozi wakizidiwa aty!.Wajeda wengi hutumia nguvu kuliko akili za kawaida