Dar tunahita Afisa JWTZ au Prison Mstaafu

Wakuu WA wlilaya na Nokia wawae wanagombea badala ya kuteuliwa na raisi.wawe ni wenyeji wa sehemu husika.hili BN litaleta mwamko zaidi wa maendeleo,na Itaondoa Mambo ya ndio more
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Katika utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa Jamaa wa JWTZ na Tanzania Prsison Services (TPS) huwaga wana Nidhamu za hali ya Juu kabisa.
Katika Mkoa kama huu uliojaa Changamoto nyingi sana ambazo zinazokuwa Driven na Matukio ya Ki Siasa,Kuwa na Mkuu Mwenye Uanasiasa ndani yake ni kuzidi kuharibu.
Huu Mkoa tuombe tupate Major General Mmoja au Commossioner Mmoja kutoka TPS.
Mambo yatakaa sawa Sawia.
Nawaza tu
Ili atupeleke kijeshi hata siungi hoja, wale watu sio mchezo hawajua sheria ni amri tu, wanaeza kuamuru tulale saa 1 jioni!. bora huyu DAB tukomae nae apunguze kubania wenzie tuu :D:D
 
Ili atupeleke kijeshi hata siungi hoja, wale watu sio mchezo hawajua sheria ni amri tu, wanaeza kuamuru tulale saa 1 jioni!. bora huyu DAB tukomae nae apunguze kubania wenzie tuu :D:D
Wajeda wengi hutumia nguvu kuliko akili za kawaida
 
Unamaanisha wanajeshi walioteuliwa , mfano mkoa wa Kagera ni mjumbe wa kamati ya siasa CCM ndani ya Kagera ?
Umeuliza jawabu , ndio maana katiba hii hii mbovu ya mwaka 1977 inakataza kabisa wanajeshi kujihusisha na siasa .

Kwa taarifa yako ni kwamba MADC na MARC wote ni wanaccm , bila kujali magwanda .
 
Dar inahitaji Mtu atakayejitoa sadaka kwa ajili ya kupigana na Wauza unga Pamoja na makuwadi Wao bila kuogopa
 
Back
Top Bottom