Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,545
- 8,630
DP misaada yao ni mrengo mmoja tu ?
Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za kitanzania milioni 200 ulikabidhiwa kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam zilizopo eneo la Ilala Boma jijini Dar Es Salaam.
Msaada huo aliopokea Mheshimiwa Chalamila ni pamoja na mafuta ya kupikia, sukari, unga wa ngano, mchele, na tende.
My Take:
Mwarabu hajawahi kumfamya mweusi kuwa mtu wa maana! ngoja tuone siku za usoni huko