Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mbona mnaitika bee wakati hamjaitwa?
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mbona mie sijaona popote ilipohusishwa CCM... Kijana au unafanya kusudi ili kikichafua chama? Why?
 
[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG] Ofisi ya Wakili wa Manji, Hudson Ndusyepo yavamiwa na watu wasiojulikana watoweka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha.

317423a51e6efb7670065e233f67f01f.jpg
1dc1c8d783ca7cdcef5361e432dce9ac.jpg

MTANZANIA
Tuomboleze Idd Amin Kafufufkia tanzaniai
 
Huyu raisi inaonyesha hataki uwepo wa mawakili...na wapinzani..
Nakumbuka alisema ukimkamata mwzi na ushahidi mtie ndani,na akija wakili anaentetea nae kamata tia ndani ili akili ziwakae sawa...
Huyu mtu atakuwa hana akili za binadamu wa kawaida...atakuwa firauni huyu
 
Wabongo bwana,katika habari.yoote wachangiaji wanazungumza kuhusu kuweka pesa ofsini!!kunasheria yoyote inazuia hayo!?nadhani tujikite kwenye subject matter,huu ujamabazi Wa kiolela holela unatakiwa kukemewa na kudhibitiwa haipendezi matukio kama haya kuyalegitimise Kwa mgongo Wa siasa,hili nitukio LA tatu.LA kifedhuri juu ya Mwanasheria kwanini sheria na sio ofsi zingine!?yoyote yule anaehusika anatakiwa kukamatwa na kupelekwa Mbele ya vyombo vya hali na sio kila kitu kukihusisha na sheria!!
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Unadhani petty cash ya ofisi inawekwa. Tigo Pesa?
Ughaibuni mnaishia kubeba maboksi mtajuaje haya?
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Wameiba makaratasi wakasokotee bangi na tumbaku?!
 
Kama nimesoma vizuri kilichoandikwa, wameondoka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha. wanamaanisha SAFE.

Sio lazima iwe pesa zilikuwa kwenye hilo kabati.
Watalilipua. Ila kama wana soft copy na CCTV camera zao ni zinazoweza onyesha hata ukiwa home Je?!
 
Back
Top Bottom