Dar ni sehemu ya ovyo sana

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Ni kwa sababu ni sehemu iliyowahi kujengeka kuliko mkoa wowote ule ..Ila kiukweli dar na watu wake walioo wengi ni Wapuuzi Sana

Dar kwanza mteja kwao ni mjinga mmoja hivi...Yani unaenda dukani halafu muuzaji anakwambia Hana chenchi eti nikutafute chenchi...

Sehemu za chakula Sasa huko ndio balaa...unaweza ukakaa ukamaliza hata lisaa hakuna anekusikiliza Wala Nini na Bado ukapigwa Bei na hudumu zikawa mbovu vilevile..

Kingine uchafu Sasa Kuna siku nilipita nyuma kule agha kan hiyo halafu unaweza kuzimia
 
Itakuwa huna hela wewe
 
Hiyo tabia ya chenji ipo mikoani,nilienda kigoma kasulu nilitoa elfu 10 nataka vocha ya buku mwenye duka akaniambia hana chenji na apo kijijini duka wanalo uza vocha ni ilo tu,nikamwambia niongezee vocha ya elfu 3 jumla iwe elfu 4 napo akasema chenji hakuna,ikabidi niimalize elfu 10 yote kwa kununua vitu ambavyo sijaviweka ktk bajeti.
 
Back
Top Bottom