Dar es Salaam City in Photos

from high spirit lounge bar rooftop by me


12509170_1737891806430133_3589919510329040249_n.jpg


12400810_1737891816430132_8289767517448909873_n.jpg


581924_1737891926430121_2379639005386289151_n.jpg


12507372_1737891999763447_7123200046336519546_n.jpg



12439153_1737891993096781_6904563555246415910_n.jpg


12495170_1737892003096780_8207534437397344187_n.jpg



12548888_1737891933096787_2689788552310095091_n.jpg



12512508_1737891939763453_791498274571641826_n.jpg


12540737_1737891809763466_5458296926160975770_n.jpg
 




1395990_10151801073931647_1304735498_n.jpg





1422442_257931884366945_1314641927_n.jpg



1888536_262240603936073_1057080648_n.jpg



1604631_262242210602579_809269548_n.jpg



1011245_257932624366871_1894914243_n.jpg



1558503_259989154161218_1944745433_n.jpg



1013498_260002664159867_41625359_n.jpg





DAR'S FISH EYE


1796520_10151990773931647_58374100_n.jpg


REPOST cause photobucket got busted ! :)


1609850_207762109418487_1395741215_n.jpg



1653600_10152783270370288_44888199_n.jpg





1619408_212686595592705_1878728059_n.jpg



1010050_10151740094741647_891928930_n.jpg





^^ SITE FOR MZIZIMA TOWERS 35+33 FLS




10014633_10152122455916647_2027725730_n.jpg



1173610_10152103976161647_1052274093_n.jpg





999431_10152020691206647_1338997037_n.jpg
Tanzania hakuna plan ya mpango miji, ujenzi holela umekithiri,DSM lazima ipangwe vizuri kwani ndio image ya Tanzania hivyo. Plan iielekezwe zaidi pembezoni mwa mji sio katikati ya mji. Naamini kwa speed ya Mhe Lukuvi Jiji la Dsm litakuwa lenye kuvutia kuliko miji yote East Africa.
 
Very nice...tupewe na elimu ya majanga yakitokea kama moto,ugaidi,tetemeko la ardhi tukiwa kwenye hivo vikwangua anga au chini yake. Tusichekelee maghorofa yana kazi hayo kubwa pakitokea majanga ( mungu atunusuru )
 
Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
Kwa nini unafikiri hizo satellite cities zitafanikiwa ikiwa Dodoma imetushinda?
 
Picha zazuzua sana. Juzi nilikuwa Dar, ni kiza totorooooo. Hakuna street lights!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom