Picha hii umeipigaje wakati ilikuwa ni marufuku kupiga picha eneo lolote la Tazara...
Hata uzinzi ni marufuku.
Inaonesha vya marufuku ni vzr
Nadhani Ndinda kapiga hizi picha kwa kuwa katika hali ya HDR,HDR ni upigaji picha za aina tatu au zaidi kwa pamoja kwa mfano picha ya kwanza inakuwa katikati yaani mwanga wake unakuwa 0 na ingine ya pili inaweza ikawa ina mwanga zaidi au pungufu kwa mfano -2 na ingine ikawa +2,halafu picha zote tatu unazichanganya kwenye photoshop au software za kuchanganya picha kama vile Photomatix,na matokeo yakawa kama hiyo picha inavyoonekana,upigaji huu wa picha hufanywa sana na wapiga picha wa ndani ya majumba,landscapes n.k