Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Hii picha inapendeza
View attachment 27290
jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?
ok umesema unavyojua wewe, hii nimeikuta huku City Mayors: World's fastest growing urban areas (1), pia list inaweza kubadilika kulingana na wanaongelea nini, mji unakua kwa idadi ya watu, au vitu vingine, kama wanavyopanga nchi kwa ukuaji wa uchumi, GDP per capita ,NOMINAL GDP etcSmahani, hizo data ni za mwaka gani mjomba? Umezitoa wapi?
Kwa ninavyofahamu mimi China na Uhindi zinaongoza kwa ukuaji wa miji:
•Chengdu, China
•Chongqing, China
•Ahmedabad, India
•Santiago, Chile
•Raleigh Durham, North Carolina
•Tel Aviv, Israel
•Kuala Lumpur, Malaysia
•Suzhou, China
•Hanoi, Vietnam
•Chennai, India
•Austin, Texas
•Abu Dhabi, United Arab Emirates
•Campinas, Brazil
•Melbourne, Australia
•Bangalore, India
Dar from above...credit skyscraper