View attachment 27290
jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?
Mbona picha ya zamani sana hii mkuu, hapo kwenye parking lot(2 storey) kuna kitu kilichopanda zaidi ya ghorofa 8!Kushoto kwake Mambo Ya Nadani vile vile kuna kiti kimepanda.nice pic
Mbona picha ya zamani sana hii mkuu, hapo kwenye parking lot(2 storey) kuna kitu kilichopanda zaidi ya ghorofa 8!Kushoto kwake Mambo Ya Nadani vile vile kuna kiti kimepanda.
View attachment 27403pspf house karibu na ppf tower nayo inakuja kwa ksai
Sasa hivi bongo ni kugaragazana tuu, hata hivyo hilo jengo litagaragazwa sasa hivi na hili hapa linajulikana kama UHURU HEIGHTS lina ghorofa 27, litafuatiwa na lingine lenye 24 pale umoja wa vijana , na muda si mrefu yote yatagaragazwa na pspf twin towers ambazo ujenzi wake ushaanza, zitakua na ghorofa 35, yaani hizo twini tower za BOT zitaingia mara mbili kwenda juu.Jengo la PPF Tower limegaragazwa vibaya... sasa hivi hata halionekani...