Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

Baada ya video kutrend iliyoonyesha Mfanyabiashara Davis Mosha akiwapiga maafisa Uhamiaji mpaka muda huu naandika Davis Mosha yuko chini ya mikononi mwa polisi...

Hongera sana jeshi la polisi. Hawa wafanyabiashara wenye ela walizoea serikali zingine ila sio hii..
Aliwapiga na mini?!!
 
Kwa nini aliwapiga maafisa, Na je maafisa wa uhamiaji siku hizi wanakagua biashara? Hebu tueleze vizuri nini hasa kilitokea hadi mfanyabiashara akutane na maafisa uhamiaji? Walikua na wasiwasi na uraia wake au aliajiri wageni katika biashara zake bila kufuata utaratibu?
 
Mbona hajakamatwa yule Fisiem aliyempiga kofi daktari kule Kigoma kata ya Mwanga.

Mwingine aliyetoa amri ya kua wale wavuvi wa Rwanda wakiingia kuvua kweny maji ya TZ tukianza na huyu mimi ntajua kwamba jeshi la polisi sio toilet paper
 
Baada ya video kutrend iliyoonyesha Mfanyabiashara Davis Mosha akiwapiga maafisa Uhamiaji mpaka muda huu naandika Davis Mosha yuko chini ya mikononi mwa polisi...

Hongera sana jeshi la polisi. Hawa wafanyabiashara wenye ela walizoea serikali zingine ila sio hii..
Inaonekana una chuki za maisha pole sana!!
 
Back
Top Bottom