Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

Boran Jakutay

Senior Member
Apr 8, 2023
110
255
Screenshot_20230425-103325.jpg

Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye.

Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim aligombana na mkewe kutokana na sababu hiyo ya mtoto wa mwisho na kupelekea kutengana miaka miaka miwili iliyopita na watoto kwenda kuishi kwa bibi yao mzaa baba.

Inaelezwa mtuhumiwa huyo juzi alifika kwa wazazi wake na kuwachukua watoto wake watatu kwa lengo la kwenda kusherehekea nao Sikukuu ya Eid sehemu anayoishi lakini aliamua kuwapa watoto wote juisi yenye sumu, watoto wawili walifariki dunia na mmoja anaendelea kupatiwa matibabu katika Hosptali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa tukio hilo tayari anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo.

Chanzo: GADI TV
 
Aisee, wanawake tupunguze kuwabambikia watoto wa wanawake wenzetu vichanga sio vyao. Mmmh huyo baba kakosea sana, kuua viumbe visivyo na hatia. Mungu tusaidie kwa kweli. Maana Hana uhakika kama sio wake. Mtoto si mpaka afanane na baba au mama jamani ndo awe wako.
 
Huyo jamaa muuaji atiwe chupa ya konyagi kubwa kwenye tundu lake la kutolea taka.
Ni mshenzi wa kiwango cha SGR.
 
Wanaume wa sikuhizi hawana vifua, mioyo yao nyoronyoro
Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio , aliye hai , tena amekuchapia mke wako ndo mtoto akazaliwa , ungekuwa mwanaume basi asili ya uanaume ingekuonyesha uhalisia wa jambo hili ...

Hyo zamani ikibainika hvyo mwanamke alikuwa anauliwa , na hata kwenye bible walikuwa wanapigwa mawe , aiseee usiombe , mtanie leo mme wako kuwa fulan sio mwanao nilichepuka ndo nikamzaa..

Niko pale nasubir majibu
 
Aisee, wanawake tupunguze kuwabambikia watoto wa wanawake wenzetu vichanga sio vyao. Mmmh huyo baba kakosea sana, kuua viumbe visivyo na hatia. Mungu tusaidie kwa kweli. Maana Hana uhakika kama sio wake. Mtoto si mpaka afanane na baba au mama jamani ndo awe wako
Kwanza hakuwa na uhakika wa analolishuku kwani hakuna vipimo vya DNA vilivyofanyika kuthibitisha hayo.

Pili hakuwa na mamlaka ya kutoa roho za viumbe ambao hawana hatia. Kama watoto walikuwa kwa bibi tayari yeye kwa nini aliamua kufanya hivyo?

Binadamu wa sasa tuna dhambi nyingi sana....... Mungu tusamehe kwa ujumla wetu.
 
Duuh, kama watoto ambao hawafanani na baba zao ndio ingekuwa kipimo basi 75% ya watoto hapa duniani tungeuwawa, maana kufanana mtoto anaweza za kufanana na shangazi yake ila asifanane na baba wa la mama, na ni kitu cha kawaida kwenye Genenetics.
 
Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio , aliye hai , tena amekuchapia mke wako ndo mtoto akazaliwa , ungekuwa mwanaume basi asili ya uanaume ingekuonyesha uhalisia wa jambo hili ...

Hyo zamani ikibainika hvyo mwanamke alikuwa anauliwa , na hata kwenye bible walikuwa wanapigwa mawe , aiseee usiombe , mtanie leo mme wako kuwa fulan sio mwanao nilichepuka ndo nikamzaa..

Niko pale nasubir majibu
Sasa kapima DNA lini? Na hao watoto wote watatu kwanini atake kuwauwa?
 
Watoto huwa hawana kosa maana hawachagui wazaliwe na nani.
Hapo alitakiwa amtende huyo mwanamke na aliyemzalisha
 
Huyo mama NAE unaachaje watoto wakalelewe ubabani kwanink asihangike nao watoto wake?!!
Shidaa umjinj mwingi mnooo!!
Asingewaua angemla Tigo huyo dogo mpk awe choko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom