johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Katibu mkuu wa CCM komredi Chongolo amesema hali ya kisiasa nchini ni nzuri na mahusiano baina ya vyama vya siasa yameimarika sana sana.
Viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakikutana wao kwa wao mara nyingi tu kadhalika viongozi wa vyama vya siasa wote wamepata fursa ya kukutana katika vikao vya mh Rais Samia kuzungumzia mshikamano na ajenda za kitaifa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama.