Daktari bingwa wa KCMC asotea mafao kwa miaka 10

Duh daktari wa serikali kapelekwa hospitali ya kanisa ama kweli MOU ni kama ISIS

Huu ni utaratibu Wa kawaida kwa serikali kuwapangia kazi ma daktari katika hospitali za mashirika ya kidini....na KCMC ina makubaliano maalum na serikali kwa jambo hilo......
 
Weka namba yake namim niko tayari kumchangia kwa sababu ameokoa maisha ya watu zaid ya 7000
 
vuta picha ndio yanakukuta yaliyomkuta Dr.Mosha..!!
ni uchungu kiasi gani alionao mzee wa watu!!
ni maumivu kias gan yanayomsibu mzee wetu huyo!!
shame on those who didi this to mzee wetu
 
Back
Top Bottom