Elections 2010 Daily News waendesha "poll"- Wao nao wataka kujua kama Dr. Slaa atashinda Urais!

CCM 8 votes. (36.36 %)
bar.jpg
CUF 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
NCCR-Mageuzi 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
Chadema 14 votes. (63.64 %)
bar.jpg
UDP 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
SAU 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
APPT-Maendeleo 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
TLP 0 votes. (0.00 %)
bar.jpg
Total votes: 22



IF U CAN SEE THE NUMBER OF VOTERS SO FAR IS 22, I DONT THINK THIS SAMPLE IS BIG ENUF TO GIVE A STATISTICALLY SIGNIFICANT CLAIM.

NEVERTHELESS LETS VOTE CHADEMA'S WAY AND MAKE THIS RESULT ABOVE A REALITY...!

TZ BILA CCM INAWEZEKANA ..........!

Nashauri daily news waiondoe hii poll kwa kuwa tayari tumeshaipolute. Kitendo cha kushare hapa matokeo ya votes ni kuvuruga objectivity ya hiyo poll. Kwa kuwa hivi sasa mashabiki wa CCM wanaweza kuungana kuipigia kura CCM ili kuiongezea idadi. Likewise, mashabiki wa CHADEMA watataka kukipigia kura zaidi chama chao. Mleta maada alipaswa ahamasishe watu kupiga kura na si kuweka hapa matokeo. Hii poll ishakuwa poluted, haifai tena.
 
By the way, isn't there a something behind the curtails for daily news conducting hizi kura? Isije ikawa Daily newsni agent wa ccm kupima joto ili kufanya faulo.
 
Hebu tuambiane ni kina nani wanaosoma Daily news???? je ni mamilioni tunaowapigania wapate shule wajue kusoma na kuandika au ni maelfu wachache wanaopata fursa ya kutoa TZS 500 kulinunua au kulikuta ofisini??? nashindwa kupata jibu la ni tabaka gani wanapiga hiyo kura katika mtandao wa Daily News ambalo ni la kidhungu na bibi zangu kule kijijni hawajui hata Nipashe la jana linafananaje na hao ni wengi kuliko tunavyodhani..
sidhani kama hiyo kura inatosha kusema CCM na JK wamepoteza kukubalika kwao kwani inaonesha wengi wanaoshabikia upinzani ndio wanaochangamkia kupigia kura Dr.Slaa na kusahau kuwa safari bado ni ndefu na Oktoba ikifika ndio tutajua nani anaongoza kura za Daily news na nani anaongoza kura za jumla za watanzania wote...so tuambiane ukweli wanajamii..kura hizi bado haziwasilishi matakwa ya watanzania kwenye nafasi ya Rais hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu..
ushauri huu ungewapa daily news ambalo ni gazeti la serikali waache kubip watu.
 
Poll yenyewe sio kitu si lolote- angalia hapo chini

Politicians defecting to other political parties after not being nominated in their parties:
Are just after political power
Do not know politics as it needs patience
Are not partisan to their party’s ideology
Are doing the good thing for their voters
Are practicing their right in a democratic country
 
Mbwa hawezi kumng'ata bwana wake na akifanya hivyo ujue ana kichaaa, hivyo bwana wake atampiga risasi.. Daily news, TBCs wote hao bwana wao ni CCM!
 
Daily News kweli wameshikwa pabaya kwani poll waliianza na kuiendesha wao wenyewe na sasa eti wanaikana kwa sababu matokeo yake yaliwashtua na hawakuyategemea. Synovate nao kama Daily News wanayakataa poll yao bila shaka yoyote kwa shinikizo kutoka CCM baada ya kuona maji yako shingoni na wananchi kuonyesha kuwachoka. Hata hivyo CCM wajiandae kwa mshtuko mkubwa zaidi mbele ya safari na kilio kitakachofuata baada ya October 31 !
 
Back
Top Bottom