Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,063
- 22,755
- Thread starter
- #21
Wakati najiandikisha JF, sikumbuki kama niliulizwa kama mimi nina itikadi gani wala dini gani. Je Mahesabu, wewe uliulizwa ? Kama hapana kwa nini unadai kuwa JF ni kwa Chadema na Dr. Slaa tu.JF IS FOR CHADEMA AND SLAA.......
Poll hii ilianzishwa na mwanachama moja wa JF, kwa nini na wewe usianzishe poll inayohusu kukubalika kwa Lipumba. Je, umekatazwa na kama bado nakuomba Mahesabu uianze na wengine tuichangie.WHY NOT LIPUMBA........? na soon post hii nayo itafutwa ....UKWELI BWANA....!
Polls (kura za maoni) zinaanzishwa kwenye vyombo mbali mbali kila siku na hao wanaopiga kura sidhani kama wanazuiwa kwa misingi ya itikadi wala dini. Zifuatazo ni polls chache tu ambazo zimeanzishwa sehemu mbambali. Nakuomba Mahesabu ujaribu kuzipitia huko na matokeo yalivyo hadi wakati huu.LET OTHER MEDIA DO THEIR POLLS TOO....!
moja
Mini Poll Results - Daily News
Will Dr Slaa win the presidential race?
Yes 204 votes. (73.12 %)
Maybe 22 votes. (7.89 %)
No 53 votes. (19.00 %)
Total votes: 279
mbili
Mini polls za JF
Je, bado una imani na serikali ya Kikwete ?
NDIYO (YES) 843 21.18%
HAPANA (NO) 2,986 75.01%
Sijui (Undecided!) 152 3.82%
tatu
Polls za gazeti la Mwananchi
Waziri kupiga goti na kutoa shikamoo ni ishara ya unyenyekevu wa kweli?
Hapana - 1067 89.9%
Ndiyo - 73 6.1%
Sijui 47 4% Hapana - 1067 89.9%
Ndiyo - 73 6.1%
nne
Kura ya Maoni» - IPPmedia
Utendaji wa TAKUKURU katika chaguzi za vyama. Ni ishara ya kuongezeka kwa umakini?
Ndio - 27%
Hapana - 73%
Total number of votes: 33
Lakini angalau zimempa ushindi JF kama ilivyompa ushindi Daily News - labda useme na Daily News ni Chadema. Mahesabu, wahenga walisema, chema chajiuza, kibaya chajitembeza ! - kalaghabaho !POLL za dr. slaa ni 4,000 je kura 4,000 za JF ZITAMPA SLAA USHINDI?