sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Kijana hajamuambia baba mahusiano yake na nimemwambia atulie!
Sasa wewe ndio unaharibu kabisa.....kweli hapo unaona inafaa kutulia?
Kijana hajamuambia baba mahusiano yake na nimemwambia atulie!
Mleta mada hebu tusaidie hapo red.....mwambie kijana amwambie babake kuwa huyo binti alikuwa mchumba wake then urudi uje utuambie baba amelipokeaje.
BAK sikupi like na wewe sweetlady umetoa like ya nini? natamani kungekuwa na kitufe cha thumb down. hivi wadhani kwa kosa la huyu baba kuwa na mapenzi na gf wa mwanae kunabadili nafasi ya yeye kuwa baba? dunian hata mtu akosee kitu gani bado kosa alilotenda halimbadilish kuwa mtu wala haliamfany akakosa hakia na heshima yake kama binadamu.
binafsi sijapendezwa kabisa na huyu dada kuwa mwepesi sana kwa baba mkwe ila pia nimefurah sana kuona kwamba Mungu kamuepushia huyu kijana dhahama. ndio maisha yalivyo.
Hivi ni kosa la baba ama demu kawa opportunist??!
unadhani ni rahisi kama unavyofikiria?
hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.Heheehehe nisamehe mwaya lol BAK huwa ananidai like zake 150 sasa ndio niko katika kuzilipa mwenzio lol! Eid Mubarak mpendwa wangu!
BAK sikupi like na wewe sweetlady umetoa like ya nini? natamani kungekuwa na kitufe cha thumb down. hivi wadhani kwa kosa la huyu baba kuwa na mapenzi na gf wa mwanae kunabadili nafasi ya yeye kuwa baba? dunian hata mtu akosee kitu gani bado kosa alilotenda halimbadilish kuwa mtu wala haliamfany akakosa hakia na heshima yake kama binadamu.
binafsi sijapendezwa kabisa na huyu dada kuwa mwepesi sana kwa baba mkwe ila pia nimefurah sana kuona kwamba Mungu kamuepushia huyu kijana dhahama. ndio maisha yalivyo.
hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.
hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.
@gfsonwin....Hawa mabinti wa kileo ambao asilimia kubwa wameweka tamaa mbele hata muwafunde vipi!!! asilimia kubwa wataweka mafunzo waliyoyapata pembeni na tamaa zao kuchukua kipaumbele...Hapendwi mtu ila pochi.
BAK kubali kataa hakuna kosa duniani linalobadili ubinadamu wa mtu. yaani mtu akilifanya basi hawi tena mtu bali mnyama wa porini ama wa kufugwa. nafikir hilo huwez kubisha so hata kama baba katembea na gf wa mwanae haibadili nafasi ya yeye kuwa baba mzazi wa kijana na kumfanya kuwa punda wao wa kubebea mizigo.Hehehehe umeanza lini uchoyo?.... Unakuwa mchoyo Eid yote hii bana? acha hizo lol! Hii story kwa maoni yangu hatujaijua nje ndani tusubiri labda mletaji anaweza kutafuta info zaidi hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuchangia kwa kina. Mie nawajua akina Baba ambao huwazengea magf wa watoto wao.
Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba, "Nimemuona Baba anamkata jicho la kumkagua dame wangu nikamwambia Baba mie sipendi tabia yako ya kuzengea wanawake wangu." Nikamuuliza Baba alijibu nini? akajibu alikuwa anasmile tu. Sasa Gfsonwin huyu Baba mwenye tabia kama hii ya kutaka kula sahani moja na mwanae anastahili kweli kuwa na hadhi ya ubaba!? Kwa maoni yangu hastahili kabisa.
Hatujui kila kitu kilichojiri hapa ama kumlaumu Baba au Binti labda tuwe na subira mleta habari anaweza kuongeza zaidi nyama katika habari hii.
BAK kubali kataa hakuna kosa duniani linalobadili ubinadamu wa mtu. yaani mtu akilifanya basi hawi tena mtu bali mnyama wa porini ama wa kufugwa. nafikir hilo huwez kubisha so hata kama baba katembea na gf wa mwanae haibadili nafasi ya yeye kuwa baba mzazi wa kijana na kumfanya kuwa punda wao wa kubebea mizigo.
btw miye siyo mchoyo bana