Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Rose inaonekana imekukera, ila usiiumie moyo lisemwalo lipo na kama hujaliona lipo karibu, ila mimi siwezi kwa sababu mi ni domo zege ambalo limegundikwa na super glue kabisa
mpz wangu SIJAKATAA KM ILI HALIPO...pbm yangu ni kwamba asiseme wanawake wote aseme baadhi...ao ambao kakutana nao ...yeye anaonekana anatembelea kwenye maduka ya wadada wauza na akanunua bdhaa..sasa iweje atoke nje ya soko na kuanza KUPONDA WANAWAKE WOOOTE ATA WASIO KUWA SOKON?thats my take...umenipata brada?