Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

Wakaka mtalalamika sana mpaka meno yawaishe.....but hii tabia haiishi ng'ooo na itazidi kukua kadri siku zinavyoongezeka na bahati mbaya saaana walengwa hawaoni hasara!! Kama unapenda afya yako na familia yako, kaa kando vinginevyo mtajalalamika ilhali safari ya kufupisha maisha yenu ishawadia!!!! Na mtatuharibia familia kwa machongo yenu hayo yasiyotazama, baba unaukwaa then unamwambukiza mkeo hadi katoto (kama kananyonya) bila kujua........na mwisho wa siku ndo utajasimulia je ni mdada anaelazimika kuavoid kichefuchefu au wewe kulinda afya yako????????
 
Kama unaishi uswahili sana lazima mademu wanaokuzunguka wako hivyo na kama viwanjavyako ni vile vya bei ndogo au kitaa tunaita vya watoto wa mbwa basi lazima useme uwaonao wako so cheap. Wako mademu wanaojiheshimu kinoma na wako so expensive na wanacheza mbali na viwanja vya watoto wa mbwa. So ni baadhi ya mademu ndo rahisi na ndo hao wakuzungukao.

Hili nalo neno.
 
Back
Top Bottom