Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

Shabhan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
236
102
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa kulala nao hata
kama mark yako ni 25 within a month
malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo. Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.
 
1.Mshahara duni.
2.Kodi kubwa!
3.Mfumko wa Bei mkali ni PIGO kwa msichana yeyote!
 
1.Mshahara duni.
2.Kodi kubwa!
3.Mfumko wa Bei mkali ni PIGO kwa msichana yeyote!

kamanda bado sioni kama hizo ndio sababu za kujirahisi,
na wale ambao wamtoa na kumywesha na kumlamba anavuna nini?
 
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.
Kweli huna bahati Shabhan manake mbona wapo wengi tu wenye heshima zao?

Labda na wewe viwanja vyako unavyochezea ni sababu moja wapo.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni wadada wa facebook ni vyema ukaenda kupost huko huko..
NB:ungesema baadhi..
 
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.

ata mama na dada yako NI WALEWALE?
dahh i hatar..unaishi mitaa gan?

nakubaliana na hoja yako bt kusema wote wapo ivo NAPINGANA NA HOJA YAKO
 
Kweli huna bahati Shabhan manake mbona wapo wengi tu wenye heshima zao?

Labda na wewe viwanja vyako unavyochezea ni sababu moja wapo.

hapana SL na sisemi kukomoa ni kweli tupu! Hasa kama
katika wanawake 50 walio na heshima zao ni 7 huoni kama ni tatizo hapo?
 
Last edited by a moderator:
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.

nina mabinti watatu, wa mwisho ni twins wapo 4 years! ni warembo kwelikweli! ukisema hivyo mkuu unanipa sana msongo wa mawazo! natamani wote niwaone wanakuwa watu baadaye! bila kupatwa na luluvirus wala kusababishia watu mtikisiko wa ubongo! LORD HAVE MERCY, AND ALWAYS PROTECT MY DAUGHTERS! AMEN!
 
Kama ni wadada wa facebook ni vyema ukaenda kupost huko huko..
NB:ungesema baadhi..

Acha kukurupuka na tabia yenu ya kujifanya mnaponda fb
na hali karibu wote mna account huko. Hili linamhusu dada yeyote wa kujirahisi!
 
ata mama na dada yako NI WALEWALE?
dahh i hatar..unaishi mitaa gan?

nakubaliana na hoja yako bt kusema wote wapo ivo NAPINGANA NA HOJA YAKO

Rose baby wewe haupo hivo, wewe ni wale 7 kati ya 50 waliotulia.
 
hapana SL na sisemi kukomoa ni kweli tupu! Hasa kama
katika wanawake 50 walio na heshima zao ni 7 huoni kama ni tatizo hapo?

mkuu mada yako ni nzuri kwa ukweli kuwa inaongelea tabia chafu za baadhi ya wanawake ambazo hata mim zinanichefua.Ila inasikitisha na kukasirisha unaposema wanawake woote tuko hivyo,sidhani kama mama yako na dada zako wako hivyo,kama hawako hivyo amini kuwa wapo wanawake wengi tu wasio na hizo tabia chafu.
 
Back
Top Bottom