Si tunawaiga walioendelea! Ladies first!
Unataka kutowa zawadi kwa mtu aliyekupa mapenzi na zawadi hiyo ni moja tu.
1.Kuna wazee waliokupenda na kukuengaenga na kukufanya hivyo ulivyp sasa.
2.Kuna guy lenye kukupatpat na kukupa vineno vizuri, kucheza na wewe kwenye sita kwa sita na kushirikiana nawe kutengeneza kiumbe ambacho utakipenda kuliko kitu chengine duniani(mtoto).
Sasa zawadi yako utampa nani na kwanini?
Sijabania kitu hapo! Ulipendwa na wazazi wako tangu tumboni hadi sasa na ukateuwa mwenzako wa kukupa raha za matamanio yako. Ukitafakari yepi unaona yana tija zaidi kwako kuliko yale mengine?
Wote wanathamani sawa
Mimi naona ni vitu (wazazi vs wenza) ambavyo wala huhitaji kufikiri/kuvilinganisha ni kama; kwangu ni kama maji na petrol, yana historia, malengo na mchango tofauti kwa kila mtu.
Wadada mna kazi..kumbe ndio maswali kama haya huwa mwaulizana eenh!
Karibu shoga basi!!!!!!!!!!
Nimepita kushangaa tu...mmmh!!