Dada yetu Michelle

Khaaaa! Nyie hapo chini mbona mnachakachua thread.
Uporoto darling njo chumbani mara moja. Sweetlady niangalize kloro asije kutuchungulia.
Hahahaha! Kumbe ndo tabia yake kloro kuchungulia watu?...khaaa! Usijali husni ngoja nimwazime King'asti binduki yake nikae nayo hapa mlangoni...lol...
 
Mimi naamini atarudi tuu katika Jukwaa,, maana Wanawake wanamengi bana inawezekana katika uongezajiwa idadi ya Watanzania wenye Damu za kiuzalendo kama yeye mwenyewe,, sasa hatua ya malezi,, ni ngumu sana ile
 
angalia hii (shida ya nokia tochi inapata mtandao ila multiquote invisible anabania)...utaniambia maana ya la'aziz. nndo maana nikasema una mitala. michelle,nsamehe macho hayana pazia,mdomo hauna dirisha

laaziz wako mke wa ayubu?kweli mie bado mgeni mjini.bahati nzuri hela ya kununua risasi sina manake mngenikoma!
Dah! hili JWJF linakaba kuliko JWTZ.
khaaa!
 
Hahahaha! Kumbe ndo tabia yake kloro kuchungulia watu?...khaaa! Usijali husni ngoja nimwazime King'asti binduki yake nikae nayo hapa mlangoni...lol...

kloro hela ya bundle imeisha, ngoja amalize kuuza zile karanga.
Ukimwona mkwe wangu king'ast mwambie kuna mashtaka ya step son wake.

Hahahaha....hela za kuunga unga, ndo bundle inunuliwe??..lol atauza siku ngapi itoshe?.

Angalieni CNN leo jioni, nitakuwepo laivu nazungumzia jinsi ngono inavyochangia tatizo la global warming.

sasa nyie kaeni na stori zenu za kuuza karanga tu wakati selebriti klorokwini ndo kwanza nimeshauriwa na madaktari nitembee na mwevuli kama marehemu maiko jakson ili nisizurike na jua.
 
Nna hakika karanga bado hazijaisha, hapa utakuwa umeazima laptop ya either The Finest or Asprin...
 
wanaJF ni ukweli usiopingika kuwa adada yeetu huyu alikuwa mfano wa kuigwa kama walivo wengine ktk hili jukwaa hasa kwa mada na uchangiaji wake, kwa muda sasa haonekani ktk hili jukwaa, mwenye kufahamu habari zake atujuze, kwani kama yuko tz mitandao imejaa hadi vijijini na moderm sasa hata kwa sh 20 alfu unapata, nimepata mashaka kama ni mzima au lah. hilo tu wapendwa wekend njema.

Asante sana Lokissa kwa kunikumbuka, ni kweli nimekuwa siingii JF kwa muda sasa kutokana na majukumu kunizidi na pia mgao wa umeme. Ila namshukuru Mungu naendelea vizuri na ni mzima. Ninawakosa sana wana JF na JF kwa ujumla. mambo yakitulia nitarudi kama mwanzo na tutazidi kushiriki hoja na mijadala mbalimbali hapa.
Mungu Awabariki, Tuko Pamoja.
 
no son of mine is a heart breaker husn..... mje nyumbani kesho kwa chakula cha mwili usiku. afu mmeshinda lottery mie naskia kwenye media,mtakuta list ya matatizo yetu ila mkija na ka ford ranger station wagon tutaanzia hapo
kloro hela ya bundle imeisha, ngoja amalize kuuza zile karanga.
Ukimwona mkwe wangu king'ast mwambie kuna mashtaka ya step son wake.
 
Mimi naamini atarudi tuu katika Jukwaa,, maana Wanawake wanamengi bana inawezekana katika uongezajiwa idadi ya Watanzania wenye Damu za kiuzalendo kama yeye mwenyewe,, sasa hatua ya malezi,, ni ngumu sana ile

Nafurahi unalitambua hili Silver25, asante sana. Ni kweli,punde tu nitarudi kama kawaida.
 
subiria quotation, ila andaa dollar pound (hii ni currency mpya ya updp) manake nataka nikatoe tafu igunga
unataka na zingine unaanzisha jeshi?
Ni PM fedha si tatizo kama unafahamu mwingine anayeuza nishtue tu
 
bora umerudi dada yetu tulikumis sana
waswahili wanasema kimya kingi kina mshindo
karibu jukwaani uchanganmshe pale palipopwaya utie chumvi,
mada zako zilinifanaya nkajiunga JF kabla hapo nlikuwa msomaji tu,

welikamu to ze hausiiiiiiiiiiiiiiii

Back
Top Bottom