Cycles of powerlessness: How can we improve the health system?

By Dr. Hamisi Kigwangalla

I woke up today reeling from nightmares of what is happening to poor people in Tanzania.

Really? You must be kidding. Tell us some more about the nature of your "nightmares". When did you start having "nightmares" because of the poverty and squalor that surrounds most everyone in Tanzania? I guess if you'd written this in Kiswahili, you'd have sounded like a clown. The locals would have had a hard time trying to make sense of your words.
 
Kingwalangwala,
Ninaamini kuwa kwa Tanzania inawezekana kila mtoto kuzaliwa Hospitali.Kila kata na Tarafa na halmashauri ya wilaya inao uwezo wa kuhakikisha wajawazito wote wanajiandikisha na kuzalishwa hospitali au na wakunga (registered). Hii haihitaji mabilioni, inahitaji kuwekewa sheria ambayo wananchi na viongozi wanaweza kuwajibishwa wasipoitekeleza.
In case of emergency, hata nchi zilizoendelea kuna watu hupoteza maisha lakini pre-natal care wala si jambo la mabilioni, ni jambo la kuelimishana.
Badala ya kusikiliza clouds na bongo fleva.... radio zinaweza kulazimishwa kuwa na Public service programmes kama za Afya (at least one hour a week), Elimu na sheria/haki. Bila hivyo wafutiwe leseni.
Na wananchi wenyewe tuwe tunajijali, mimba iripotiwe, due dates zijulikane, mapigo ya moyo ya mtoto etc.. at least every trimester.
It's possible, without donors.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Maswali si magumu hivyo. Ila kwa mtu ambaye si muwazi kama ambaye ana ulterior motive, yanaweza kuwa magumu.

Either huyu mbunge ni simpleton type ya kujitutumua kuandika kiingereza ili aonekane anajua sana, na hivyo kusahau hata ukweli kwamba anaowaandikia wengi hawajui kiingereza na kwa kuandika kiingereza anazorotesha mawasiliano.

Au lengo lake si kuwaandikia Watanzania masikini kama anavyojifaragua.

Both of these scenarios are impalatable. The first gives a picture of an attention seeking trained ignoramus.

The second is a manipulative psychopath as one member already said.

Kuna watu wako vijijini wana access ya internet na printer, ikija post nzuri wanaweza hata kui print na kusambaza kwa wanavijiji wajisomee.

Sasa huko vijijini kwenye abject poverty mtu anaweza kui print hii piece akasambaza kwa wananchi wahusika kabisa? Si kejeli hizi?
Watu wengine bila kukosoa hamwoni kama mmechangia mjadala. Ifike mahali wakati mwingine uwe na aibu. Mtazamo wako unaona article hii ilipaswa isomwe na watu wa vijijini. Mimi nitakuuliza ili iweje? Kwanza mimi naona kuwaandikia wananchi wanaoishi vijijini kwa lugha fasaha wanayoielewa utaishia kuwakumbusha machungu ambayo wamekuwa wakiyapata miaka nenda rudi tangu nchi hii ipate uhuru na mwisho wa siku sijui utakuwa umewasaidia nini!!

Alichofanya Dr. Kigwangalla ni kuwalenga watoa maamuzi yaani watu ambao wana dhamana ya afya ya akina mama na watoto ili waelewe vizuri picha halisi iliyopo vijijini. Ni kweli inawezekana ujumbe ungewafikia walengwa vizuri zaidi endapo ungeandikwa kwa kiswahili. Lakini kuna ubaya gani kama ungempongeza kwanza kwa uandishi ndipo uongelee upungufu kama huo!!

Mwisho nichukue nafasi hii kumpongeza mwandishi kwa makala nzuri na inayosisimua na kuamsha ari na msukumo wa kufanya mabadiliko kwenye sekta hii nyeti ya afya. Mashaka yangu ni namna viongozi wetu wanavyoguswa na hali hii. Kwa wao ni vigumu kupata picha halisi kwani kama siyo wao basi wake zao au watoto wao wanajifungua kwenye hopitali za kisasa zenye vifaa vyote muhimu au nchi za nje kabisa, kama alivyofanya Rais Museveni alipompeleka binti yake kwenda kujifungulia Ubelgiji. Alipobanwa na wananchi alijitetea kwamba alitumia mojawapo ya haki yake ya mapumziko ya nje ya nchi kwa kumsaidia binti yake.

Ninachoweza kumsaidia Dr. Kigwangalla kwa nafasi yake ya ubunge ni kwamba kama ana uchungu wa dhati kuhusu afya ya akina mama na watoto vijijini, aandae HOJA BINAFSI na kuiwasilisha bungeni. Aipangilie vizuri sana ikieleza pamoja na mambo mengine kuwa serikali ichukue afirmative action tena haraka sana kuepusha vifo vya akina mama na watoto vijijini na uwekwe muda maalum wa utekelezaji. Nina hakika ataungwa mkono na asilimia kubwa ya wabunge na bahati nzuri katika suala hili hakuna chama tawala wala upinzani.

Najua ni safari ndefu kufikia kiwango tunachohitaji cha kuboresha afya ya uzazi lakini tukiweka miundombinu mizuri ya kuwabeba akina mama wajawazito kuelekea kwenyw vituo vichache ambavyo angalau vina facilities kama hospitali ya Kitete tutakuwa tumewasaidia sana mama zetu. Mimi naamini hili linawezekana kwani endapo tu serikali itaacha matumizi ya anasa. Ebu tujiulize kidogo, hivi serikali yetu ingekuwa na dhamira ya dhati ya kuwakomboa wananchi ingeruhusu viongozi watumie magari ya injini kubwa za cylinder 8 na 4WD kuzungukia mijini wakati mama zetu vijijini hawana chombo chochote cha usafiri na barabara kama zipo basi ni mbovu sana! Akina mama na watu maskini hao hao wakienda kununua kiberiti na chumvi wanakatwa kodi. Bidhaa yoyote inayonunuliwa imewekewa kadi kama siyo ya moja kwa moja basi ipo iliyowekwa kwenye umeme, mafuta, n.k.

Kwa ujumla, ni kwamba nchi hii bado haijapata KIONGOZI na wananchi tusitarajie kamwe kupata KIONGOZI kutoka CCM. Hiki ni chama ambacho sasa imefika mahali kinatawala nchi kwa MAZOEA. Viongozi wa CCM hawawezi kuona kuwa hili ni tatizo. Kinachohitajika ni wananchi kufanya maamuzi magumu ya kuipumzisha CCM kama walivyofanya wenzetu GHANA, ZAMBIA, MALAWI, KENYA, n.k. Vinginevyo, hali hii itadumu mpaka Yesu atakaporudi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Watu wengine bila kukosoa hamwoni kama mmechangia mjadala.

Hata na wewe umekosoa hapa, na wewe bila kukosoa huoni kwamba umechangia mjadala?

Na hata mie nikiamua kila ninapoona mambo yako sawa sina haja ya kuchangia, nikiona jambo limeharibika ndipo naona umuhimu wa kutoa maoni yangu, kuna ubaya gani? Kila mtu ana style yake na personality yake. Kama wewe ushazoea kuimba chorus na pambio za sifa, wengine tumezoea matofa, haiko mkinga.

Swala lisiwe umetoa sifa au umekosoa. Swala liwe umetoa sifa au umekosoa vipi? Kwa haki au vibaya?

Ifike mahali wakati mwingine uwe na aibu. Mtazamo wako unaona article hii ilipaswa isomwe na watu wa vijijini. Mimi nitakuuliza ili iweje? Kwanza mimi naona kuwaandikia wananchi wanaoishi vijijini kwa lugha fasaha wanayoielewa utaishia kuwakumbusha machungu ambayo wamekuwa wakiyapata miaka nenda rudi tangu nchi hii ipate uhuru na mwisho wa siku sijui utakuwa umewasaidia nini!!

Wa kuona aibu ni wewe mtu mzima unayetaka kuwa condescend watu wa vijijini kiasi hiki. Yaani watu wa vijijini wasiambiwe jinsi wanavyoweza kuboresha maisha yao kwa lugha watakayoielewa kwa sababu kuwaambia hivyo kutawakumbusha machungu?

Are you serious?

Alichofanya Dr. Kigwangalla ni kuwalenga watoa maamuzi yaani watu ambao wana dhamana ya afya ya akina mama na watoto ili waelewe vizuri picha halisi iliyopo vijijini.

Huyu ni mbunge, hana ufinyu wa nafasi ya kuwapata watoa maaamuzi. Na kama angekuwa serious angekuja na kitu comprehensive chenye a solid action plan. Sio kuandika kama kina Kiranga ambao wanaweza kusema hawana platform wala minyota ya uwakilishi wa watu. Mtu umepewa nguvu za kibunge unakuja kuwalenga watoa maamuzi JF?

Ni kweli inawezekana ujumbe ungewafikia walengwa vizuri zaidi endapo ungeandikwa kwa kiswahili. Lakini kuna ubaya gani kama ungempongeza kwanza kwa uandishi ndipo uongelee upungufu kama huo!!

Huku kupongezana kwa mediocrity hatutaki. Soma motto hapo juu "JF Where We dare To Talk Openly" sasa kwa nini niumeume maneno? Mtu mzima anakuja na makala ukilinganisha kinachosemwa na kilivyoandikwa haviendani. Unapata maswali kwamba labda huyu mtu hamnazo au anataka kuchezea akili za watu. Sasa kwa nini nimsifie mtu kama huyo, wewe mwenyewe ushasema ujumbe ungewafikia walengwa vizuri zaidi kama ungeandikwa kwa Kiswahili, sasa kKiingereza cha nini? Ndio uongozi wenyewe huu?

Mwisho nichukue nafasi hii kumpongeza mwandishi kwa makala nzuri na inayosisimua na kuamsha ari na msukumo wa kufanya mabadiliko kwenye sekta hii nyeti ya afya.

Kuamsha ari washaamsha sana kina Nyerere tangu uhuru, mimi ningetegemea "action plan" hapa. Sijaona kitu zaidi ya politiking na kutafuta cheap popularity.

Mashaka yangu ni namna viongozi wetu wanavyoguswa na hali hii.

Viongozi wenyewe si ndio hao. Wanagombea ubunge kuja JF, wana platform maalum bungeni lakini wanakuja kutoa muswada JF kama Kiranga asiye na ubunge! Unategemea nini?

Kwa wao ni vigumu kupata picha halisi kwani kama siyo wao basi wake zao au watoto wao wanajifungua kwenye hopitali za kisasa zenye vifaa vyote muhimu au nchi za nje kabisa, kama alivyofanya Rais Museveni alipompeleka binti yake kwenda kujifungulia Ubelgiji. Alipobanwa na wananchi alijitetea kwamba alitumia mojawapo ya haki yake ya mapumziko ya nje ya nchi kwa kumsaidia binti yake.

Hata huyo Kikwete na Nyerere wamekumbuka walivyotembea kwenda shule kwa miguu bila viatu, na kuchomwa na mbigili. Sasa hawa Watanzania waliopata ubunge 2010 wameshuka toka wapi wasijue shida za Watanzania wa kawaida. Na kama watajifaragua kwamba hawajui nitazidi kuwashangaa.

Ninachoweza kumsaidia Dr. Kigwangalla ni kwamba kama ana uchungu wa dhati kuhusu afya ya akina mama na watoto vijijini, aandae HOJA BINAFSI.

What took you so long? Hatutaki mbunge aje JF analalamika maisha magumu ya watanzania kama hana access na policymaking platforms, wakati yeye mbunge. Fanya vitu bungeni. Ukija JF unatoa ripoti nimefanya hiki na hiki, nakwamishwa na hiki, naomba ushauri kuhusu hiki, uone kama mtu ukiwa serious watu hawatakuunga mkono.

Lakini hizi habari za talalila tushazisikia sana, tunaona ndio wale wale tu.

Aipangilie vizuri sana ikieleza pamoja na mambo mengine kuwa serikali ichukue afirmative action tena haraka sana kuepusha vifo vya akina mama na watoto vijijini na uwekwe muda maalum wa utekelezaji. Najua ni safari ndefu kufikia kiwango tunachohitaji lakini tukiweka miundombinu mizuri ya kuwabeba akina mama wajawazito kuelekea kwenyw vituo vichache ambavyo angalau vina facilities kama hospitali ya Kitete tutakuwa tumewasaidia sana mama zetu. Mimi naamini hili linawezekana kwani endapo tu serikali itaacha matumizi ya anasa. Ebu tujiulize kidogo, hivi serikali yetu ingekuwa na dhamira ya dhati ya kuwakomboa wananchi ingeruhusu viongozi watumie magari ya injini kubwa za cylinder 8 na 4WD kuzungukia mijini wakati mama zetu vijijini hawana chombo chochote cha usafiri na barabara kama zipo basi ni mbovu sana! Akina mama na watu maskini hao hao wakienda kununua kiberiti na chumvi wanakatwa kodi. Bidhaa yoyote inayonunuliwa imewekewa kadi kama siyo ya moja kwa moja basi ipo iliyowekwa kwenye umeme, mafuta, n.k.

Tumemuuliza mbunge kuhusu hiyo midege ya chinichini, kasepa, hakujibu. Hakuweza ku reconcile uchungu anaojitia kuusikia kwa sababu ya maisha duni ya watanzania na fahari yake binafsi kutembea na migari ya ajabu inayokunywa maji kama Komba anavyokunywa mnazi!
 
Hata na wewe umekosoa hapa, na wewe bila kukosoa huoni kwamba umechangia mjadala?

Na hata mie nikiamua kila ninapoona mambo yako sawa sina haja ya kuchangia, nikiona jambo limeharibika ndipo naona umuhimu wa kutoa maoni yangu, kuna ubaya gani? Kila mtu ana style yake na personality yake. Kama wewe ushazoea kuimba chorus na pambio za sifa, wengine tumezoea matofa, haiko mkinga.

Swala lisiwe umetoa sifa au umekosoa. Swala liwe umetoa sifa au umekosoa vipi? Kwa haki au vibaya?

Wa kuona aibu ni wewe mtu mzima unayetaka kuwa condescend watu wa vijijini kiasi hiki. Yaani watu wa vijijini wasiambiwe jinsi wanavyoweza kuboresha maisha yao kwa lugha watakayoielewa kwa sababu kuwaambia hivyo kutawakumbusha machungu?

Are you serious?

Huyu ni mbunge, hana ufinyu wa nafasi ya kuwapata watoa maaamuzi. Na kama angekuwa serious angekuja na kitu comprehensive chenye a solid action plan. Sio kuandika kama kina Kiranga ambao wanaweza kusema hawana platform wala minyota ya uwakilishi wa watu. Mtu umepewa nguvu za kibunge unakuja kuwalenga watoa maamuzi JF?

Huku kupongezana kwa mediocrity hatutaki. Soma motto hapo juu "JF Where We dare To Talk Openly" sasa kwa nini niumeume maneno? Mtu mzima anakuja na makala ukilinganisha kinachosemwa na kilivyoandikwa haviendani. Unapata maswali kwamba labda huyu mtu hamnazo au anataka kuchezea akili za watu. Sasa kwa nini nimsifie mtu kama huyo, wewe mwenyewe ushasema ujumbe ungewafikia walengwa vizuri zaidi kama ungeandikwa kwa Kiswahili, sasa kKiingereza cha nini? Ndio uongozi wenyewe huu?

Kuamsha ari washaamsha sana kina Nyerere tangu uhuru, mimi ningetegemea "action plan" hapa. Sijaona kitu zaidi ya politiking na kutafuta cheap popularity.

Viongozi wenyewe si ndio hao. Wanagombea ubunge kuja JF, wana platform maalum bungeni lakini wanakuja kutoa muswada JF kama Kiranga asiye na ubunge! Unategemea nini?

Hata huyo Kikwete na Nyerere wamekumbuka walivyotembea kwenda shule kwa miguu bila viatu, na kuchomwa na mbigili. Sasa hawa Watanzania waliopata ubunge 2010 wameshuka toka wapi wasijue shida za Watanzania wa kawaida. Na kama watajifaragua kwamba hawajui nitazidi kuwashangaa.

What took you so long? Hatutaki mbunge aje JF analalamika maisha magumu ya watanzania kama hana access na policymaking platforms, wakati yeye mbunge. Fanya vitu bungeni. Ukija JF unatoa ripoti nimefanya hiki na hiki, nakwamishwa na hiki, naomba ushauri kuhusu hiki, uone kama mtu ukiwa serious watu hawatakuunga mkono.

Lakini hizi habari za talalila tushazisikia sana, tunaona ndio wale wale tu.

Tumemuuliza mbunge kuhusu hiyo midege ya chinichini, kasepa, hakujibu. Hakuweza ku reconcile uchungu anaojitia kuusikia kwa sababu ya maisha duni ya watanzania na fahari yake binafsi kutembea na migari ya ajabu inayokunywa maji kama Komba anavyokunywa mnazi!
Kiranga,
Asante kwa kujibu hoja baada ya hoja. Najua una hasira na namna viongozi wetu wanavyochangia kudidimiza maendeleo ya nchi yetu kwa kutotumia ipasavyo fursa walizonazo za kiuongozi kama Dr. Kigwangalla ambaye ni mbunge. Ninachokiona hapa ni kama mtu anayetafuta namna ya kupumua kwa maana kwamba platform alizonazo kwa mujibu wa sheria nazo zimeminywa. Hazimpatii fursa ya kuchangia mawazo yake kwa uhuru. Ebu chukulia mfano wa bungeni ambapo wabunge wa ccm wanalazimika kuunga mkono hoja za serikali ambazo hazina maslahi kwa jamii pana ya watanzania! Akijifanya anapinga, hatma yake ndani ya chama itakuwa mashakani. Inawezekana, hiyo ndiyo sababu inayowafanya baadho ya wanasiasa wa aina ya Kigwangalla kuamua kuandika tu.
 
Hii mediocrity ya kusema mbunge aje kupumua JF kwa sababu kaminywa bungeni ndiyo siitaki. Usitake kuwa apologist wa watu wazembe.

Kuingia bungeni maana yake umetaka vita, sio pa kwenda kucheza lelemama pale. Sasa kwa nini mtu aingie pale, apewe kinga kisheria, halafu ashindwe kufanya kweli? Kama sheria zinaminya yeye si ndiye mbunge abadilishe, au aje hapa JF kwenye mahakama ya public opinion aseme mie nilikuwa nafanya hivi nikazuiwa hivi.

Acha kuwa apologist wa mediocrity na hypocrisy. Kama alitaka uandishi magazeti yapo kibao, ajiuzulu ubunge ajiunge na kina Mwanakijiji.

Mbunge tunamhold kwa standard kubwa. Noblesse oblige. With privilege comes responsibility.
 
Back
Top Bottom