Cycles of powerlessness: How can we improve the health system?

mzee ulichoongea ni hali halisi inayotokea kwa wananchi wa kawaida wa nchi yetu ambayo wengine wanaita tanzania wengine tanganyika.kimsingi ni kwamba haya yanatokea kwa pande mbili.moja ni kutokana nauelewa wa sisi watanzania ambao hatuko tayari kuweka vipaumbele katika afya zetu na nyingine inatokana na uelewa wetu wa nini cha kufanya ili kuepukana na majanga haya.cha pili ni ukosefu wa umakini wa watunga sera na viongozi wetu katika jamii.ni ukweli usiopingika kuwa tumekuwa tukimvest a lot of money kwenye vitu visivyo na tija kwa nchi yetu ya tanzania.viongozi wamekimbilia kukimbilia posho na kutemeblea magari ya fahari na kulalahoteli za kifahari ili hali wananchi wa hali ya chini wapata shida.jiulize waheshimiwa wabunge pale dodoma wanapitisha bajeti je wanafuatila maneno au utendaji wa serikali yao.madhalani nenda dodoma kuna mpango wa kuwapatia wanawake delivery kits wakati wanaenda kujifungua lakini hali siyo ivyo wakienda wanambiwa watoe fedha wakati sera inaeleza wanatakiwa wapate matibabu bure.
 
As a Doctor (his vocation) he should have been in Public Service.......is that what you meant?

Vocation has more than just one meaning my friend. In the context in which I used it, it stands for calling. Therefore, public service through representation is his calling. So, if that's the case, what is wrong with it?

Vocation:
1 [count] : a strong desire to spend your life doing a certain kind of work (such as religious work)
▪ It was her vocation [=calling] to be a teacher. ▪ This isn't just a job for me; it's a vocation. ▪ people who follow a religious vocation ▪ He never felt a real sense of vocation.

2 : the work that a person does or should be doing [count] ▪ his chosen vocation [=occupation] ▪ She discovered architecture as her true vocation [=calling] while in college. ▪ He feels he missed his vocation [=did not have the career he should have] by not becoming a doctor. [noncount] ▪ I'm a carpenter by vocation, but my hobby is painting.

Merriam-Webster's Learner's Dictionary
 
Nashukuru sana Bwana Kigwangala kama hutajali bila kuiitwa muheshimiwa, hadithi yako ni nzuri sana na hili ni tatizo linalokaribiana sana karibu Tanzania yote. Ila mimi nakushauri uiandiki kwa kiswahili ili ueleweke na wale unaotaka mawazo kutoka kwao ambao ni watanzania na wengi hawaijui lugha uliyoitumia kwani itaepusha wewe kuanza kubishana na watu kitu ambacho hakikuwa lengo lako. Tumia lugha yetu ya kiswahili ili tuweze kuchangia vizuri zaidi. Ni hayo tu nangoja nichangie
 
Mh. Kigwangala,

Heshima Kwako,

Mimi nafikiri CCM mtatakiwa kukaa chini na kuona waTZ wanahitaji nini na si nyinyi mnataka muwape nini watanzania...

Message kubwa wanayokupa watu hapa ni kwamba hii taarifa angeitoa mtu ambaye ni mwana mageuzi isingekuwa issue lakini kwa kuwa CCM na viongozi wengi wanafanya vitu kwa maslahi yao na chama chao basi hata ukileta nini kwa watZ watakushangaa tu.

Na mnatakiwa kufikiria mara mbilia waTZ wanataka nini na si nyinyi kubuni vitu kwa maslahi yenu...
 
Hii hadithi ya huyu Kigwangwala ni moja ya matukio yanayotokea kila siku hapa Tanzania. Wote tunajua. Ni hayo ni matokeo ya mfumo mbovu wa kisiasa ambao umezaa serikali legelege na watumishi corrupt. Waliotuongoza kufikia hali hii ndio eti wanataka sasa kujifanya kuandika hizi stories ki-riwaya riwaya ili ku-raise attention ya donors. Huyu aliyetufikisha hapa hawezi kamwe kutuondoa. Wakae pembeni ili wengine warekebishe...
Nadhani huyu Kigwangala wa juzi hapa hawezi kuwa ametufikisha hapa, maana na yeye amefikishwa hapa pia
 
Mh. Kigwangala,

Heshima Kwako,

Mimi nafikiri CCM mtatakiwa kukaa chini na kuona waTZ wanahitaji nini na si nyinyi mnataka muwape nini watanzania...

Message kubwa wanayokupa watu hapa ni kwamba hii taarifa angeitoa mtu ambaye ni mwana mageuzi isingekuwa issue lakini kwa kuwa CCM na viongozi wengi wanafanya vitu kwa maslahi yao na chama chao basi hata ukileta nini kwa watZ watakushangaa tu.

Na mnatakiwa kufikiria mara mbilia waTZ wanataka nini na si nyinyi kubuni vitu kwa maslahi yenu...
kweli mkuu
 
Kiranga,

You display yourself as a very intelligent guy. And too you have a wide and diverse knowledge and experience. Ila inasikitisha sana kukuona ukijishusha kiasi hiki na kutoa hoja, kwa maksudi kabisa, zisizo na mashiko ya kimantiki hata kidogo.

Hapa tunaongelea hoja ya Health systems wewe unaleta hoja za uteuzi wangu, inahusika vipi hapa?

Sipendi kukujibu lakini naomba nikueleweshe kidogo tu kwamba mchakato ulionipelekea mimi kuwa MB leo hii hauna hila wa dhulma kwa mtu yeyote na binafsi sina mashaka kwa hilo na hata waliokatwa na vikao vya chama wanajua kwa nini walikatwa. Hili halina shaka hata kidogo. Mimi nimechaguliwa na wananchi tena kwa kura nyingi sana, zaidi ya 20,000, na ndiyo maana ninasimama hadharani kifua mbele kwa kuwa najua kuna watu wengi nyuma yangu. Ukiongelea uhalali wa uwakilishi wangu, kama una nia nzuri, hautokuwa na shaka na hilo, maana mimi ndiye chaguo la watu wa Nzega (kwa kura halali kabisa). Ila kwa macho ya ushabiki na chuki kwa Kigwangalla, ungeweza kusema 'Kigwangalla siyo chaguo la wana CCM wa Nzega' maana nilishika nafasi ya tatu kwenye matokeo ya 'kughushi' ya kura za maoni ndani ya CCM, hata hivyo ungetakiwa ujue kuna utaratibu gani wa kupata wagombea kutoka CCM. Utaratibu wa kupata wagombea uko katika hatua mbili, kura za maoni na vikao vya maamuzi, na kushinda kura za maoni siku zote si tiketi ya kukufanya uteuliwe na chama kuwa mgombea bali ni mojawapo ya vigezo vitakavyosaidia wajumbe wa vikao wafanye maamuzi.

Nakushauri ujifunze ku-critique na siyo kutoa criticism kwa kila kitu. Ni mtazamo wangu tu juu yako.

Sikuleta hoja ya uchaguzi, nimekuta hoja ya uwakilishi imeongelewa, nikatoa my two cents regarding the fraudulent nature of your ascent to Bunge. It is only right we vet everyone claiming to champion the people's causes, what with all the grotesque pretenders eyeing the throne.One JK is bad enough for a whole century, we don't want to cultivate a lax atmosphere towards the fate of our leadership.

Kwamba hukuwa chaguo la kwanza la wana CCM ni fact, na hata baada ya mzungukuti wote hapo juu, hujaweza kufuta ukweli huu.

Halafu kuna mambo hata huja ya address umeulizwa. Hii habari walengwa kina nani? Kwa nini imeandikwa kwa lugha hii? Kwa nini hujajibu haya maswali?
 
Hii habari walengwa ni kina nani? na asilimia ngapi yao wanaelewa hii lugha?

Maana kutetea masikini wa Tanzania kusije kutumiwa kama nyenzo tu ya kuandika vizuri kwa minajili ya kutafuta misaada ya kutoka kwa wazungu na ndiyo maana hata habari zenyewe zinaandikwa kwa lugha ambayo hao masikini hawaielewi.

Heshima yako Kiranga.
Kabla sijamaliza kusoma huo "waraka" wa Hamisi Kigwangalla,nimejiuliza swali hilo hilo ambalo hata wewe umejiuliza,what a coincidence!
Kigwangalla, hayo mambo uliyoandika hayahitaji research, even my friends here in the forum who have got nothing to do with the medical field know how terribly and miserably our fellow Tanzanians especially in the rural areas have to struggle for their daily survivor. Swali la kujiuliza ni nini chanzo cha haya matatizo???
Haya mambo angeyaongea Daktari ambaye hayupo ktk system inawezekana ningemuelewa na ningejaribu kufarijiana naye, haya mambo kawaeleze wabunge wenzako wa CCM wanapodai posho za vikao TZS 200000 kwa siku, wanapodai nyongeza ya mishahara, above all kamuadithie mwenyekiti wa chama chako Jakaya Kikwete because he's notoriously known for being out of touch.
WanaJF, na watanzania kwa wingi wao wanapopinga upuuzi wenu juu ya posho na uzururaji wa Kikwete ni kwasababu wanafahamu hali halisi ya ndugu zao wanaoishi vijijini and I'll give you a breaking news " they have never conducted any research!!!!" Sisi tunajua kuwa resources za nchi yetu zinatumika ktk mambo ambayo si kipaumbele as a result mambo ya muhimu yanasahauliwa. Habari nilizonazo ni kuwa safari za nje za Kikwete zinaligharimu taifa wastani wa TZS 400000000( milioni 400) per trip sasa swali la kujiuliza tangu ameingia madarakani amekwishafanya safari ngapi na zimetugharimu kama Taifa kiasi gani cha fedha? Je hizo fedha tungezi-invest ktk ELIMU au katika AFYA ni cases ngapi kama hiyo uliyodescribe above tungeweza ku-avoid??

Again, hayo uliyoandika kawaadithie wabungwe wenzako wa CCM mtakapokutana kama kamati na ukiweza mpatie nakala Pinda ampatie Kikwete. Sisi uliyoandika tunayafahamu bila hata ya kufanya research.
Kazi njema.

Kwamba hukuwa chaguo la kwanza la wana CCM ni fact, na hata baada ya mzungukuti wote hapo juu, hujaweza kufuta ukweli huu.

Halafu kuna mambo hata huja ya address umeulizwa. Hii habari walengwa kina nani? Kwa nini imeandikwa kwa lugha hii? Kwa nini hujajibu haya maswali?

Kiranga na wewe umezidi kuuliza maswali magumu, kwani hauna maswali rahisi ya kuuliza?? ahahahahahaa
 
The problem is with people like you......a TRAINED DOCTOR....leaving your career to go and mingle with the likes of Maji Marefu
watu aggressive na assertive kama Hamisi wanahitajika sana wakaiamshe system, kwani wasipokuwepo mule wasomi wazuri kama HK tutafika kweli? eti wabaki akina Majimarefu wana-mingle peke yao,,,,,,,,dah
 
Kiranga na wewe umezidi kuuliza maswali magumu, kwani hauna maswali rahisi ya kuuliza?? ahahahahahaa
Kuna ugumu gani kwenye maswali ya Kiranga??? kwani nani asiyejua rushwa na madudu ya chaguzi za ndani ya CCM? msipoangalia mtakatisha tamaa vijana wazuri waliojitokeza kuingia kwenye uchafu wa siasa za ccm ili wakasafishe,,,,tuwape moyo jamani. Go Kigwa Go Kigwa, wewe una moyo wa simba kwa kweli mimi sina chama lakini kama ningeingia humo kwenye siasa nisingeingia ccm
 
Hii hadithi ya huyu Kigwangwala ni moja ya matukio yanayotokea kila siku hapa Tanzania. Wote tunajua. Ni hayo ni matokeo ya mfumo mbovu wa kisiasa ambao umezaa serikali legelege na watumishi corrupt. Waliotuongoza kufikia hali hii ndio eti wanataka sasa kujifanya kuandika hizi stories ki-riwaya riwaya ili ku-raise attention ya donors. Huyu aliyetufikisha hapa hawezi kamwe kutuondoa. Wakae pembeni ili wengine warekebishe...

GY, heshima kwako!
uliyoandika ni ya kweli 100% - tumefika hapa tulipo kwa sababu ambazo umeziandika vizuri tu hapo juu na cha ajabu tunataka kujiondoa katika mtego huu kwa kutumia formula hiyohiyo iliyotuingiza matatizoni... Msikilize Albert Eistein...
"We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them"

Kuna ugumu gani kwenye maswali ya Kiranga??? kwani nani asiyejua rushwa na madudu ya chaguzi za ndani ya CCM? msipoangalia mtakatisha tamaa vijana wazuri waliojitokeza kuingia kwenye uchafu wa siasa za ccm ili wakasafishe,,,,tuwape moyo jamani. Go Kigwa Go Kigwa, wewe una moyo wa simba kwa kweli mimi sina chama lakini kama ningeingia humo kwenye siasa nisingeingia ccm

Mwenzio ndo kayaona magumu hivyo lol!
 
ciao!
wewe na mimi obvious pamoja na wengine tunajua kuwa maswali si magumu, lakini kwa kuwa alikuwa hayajibu basi basi nikalazimika kutumia sarcastic rhetoric ili kumlazimisha ayajibu, nimemtumia Kiranga ili kum-stimulate kigwangalla - that's all!
 
Hii ni hoja pana, nitaandaa mada inayohusiana na hili swali lako la kutoa mawazo yangu.

Ila kwa haraka haraka tu ni kwamba tunahitaji kuongeza bajeti ya afya, kuongeza idadi ya wafanyakazi, kwa maana ya kuajiri wanaohitimu kwa kasi kubwa zaidi, maana leo hii wanahitimu mf madaktari 700 kwa mwaka lakini wanaoajiriwa na serikali ni chini ya 100, sasa tunapiga hatua mbele ama tuko pale pale? Pia tunahitaji kufanya jitihada za kuboresha mazingira ya kazini, mahospitalini kwa kuhakikisha vifaa na madawa yanapatikana muda wote hadi ngazi ya zahanati... tunahitaji ku-accelerate MMAM ... kumbuka ilani ya uchaguzi ya CCM ilitaka tuwe tumejenga vituo vya afya 11,000 kufikia 2015 lakini leo hii tumeongeza vituo 78 tu kufikia 2010/11 making a total of health center to around 6500, je tutafika?

Tupunguze utegemezi wa bajeti yetu kwa wafadhili...leo hii mchango wa JMT kwenye bajeti ya afya ni les than 40%, zaidi ya asilimia 65 ni wafadhili....hii inakwenda upside down na general budget ya serikali ambapo tunatoa zaidi ya 68% na wafadhili ni hiyo 32/35% inayobaki...
wewe jembe mkuu nimekukubali hata jana ulipokuwa unaongea Startv ulifanya vizuri sana nashangaa ni kwa nini haujatumika ipasavyo ila naona kama unapoteza muda sana kufanya mambo ya siasa rudi kwenye fani tu kaka
 
Mwenzio ndo kayaona magumu hivyo lol!
teh teh teheeee inawezekana hapo ndipo uwezo wa kiranga ulipofikia kama anaona hayo ndiyo maswali ya kumuuliza daktari wa ukweli kigwangalla atachoka tu hamjui vizuri huyu ni king'ang'anizi sana na ni kipanga toka kule shybush high school
 
Nashukuru sana Bwana Kigwangala kama hutajali bila kuiitwa muheshimiwa, hadithi yako ni nzuri sana na hili ni tatizo linalokaribiana sana karibu Tanzania yote. Ila mimi nakushauri uiandiki kwa kiswahili ili ueleweke na wale unaotaka mawazo kutoka kwao ambao ni watanzania na wengi hawaijui lugha uliyoitumia kwani itaepusha wewe kuanza kubishana na watu kitu ambacho hakikuwa lengo lako. Tumia lugha yetu ya kiswahili ili tuweze kuchangia vizuri zaidi. Ni hayo tu nangoja nichangie

Mimi ninamshauri hasifuate ushauri wako maana akiandika hayo mambo kwa kiswahili ndugu zangu kule vijijini wataanza kuwadharau wasomi,wataanza kujiuliza yaani kujua kuwa tunakufa kwa kukosa huduma za afya na mambo mengine inahitaji kufanya utafiti na watakuwa na haki ya kusema wayasemayo maana wao mambo hayo wanayajua bila ya kwenda"shule" na bila ya kufanya utafiti wowote, as a result matusi yatakuwa multiplied x998890 bora haya mambo yabaki kama yalivyo. ahahahahahah
 
By Dr. Hamisi Kigwangalla

These barriers reflect the obstacles to achieving health equity for women and children in Tanzania. The fact that about 80 percent of Tanzanians live in rural areas, and that more than half of all births occur outside health facilities, compels a strong case towards reforming the health system. We must target improvements in primary health care in order to improve the security of the poor majority living in rural areas. The Government should direct more resources to strengthening primary health care services bringing them closer to the people. Will the budget that is going to be tabled next month in Parliament reflect this?

or Email
image.png

kigwa, your research addressed what is really happening in rural and urban areas. I love your story, there are too many dots to connect before someone's coming up with blah blah political driven allegations. This is what we need to see from our representatives
 
Back
Top Bottom