CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

Baraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo upo kwa kuwa mahakama kuu divisheni ya kazi haijasitisha mgomo huo
Source Channel ten habari
mkoba nachezea Dr Rama..MABWEPANDEEE
 
Mbona MADAI yako wazi kabisa ni haya:-
1. Kulipwa kwa kwa MADAI ya walimu ambayo ni pesa ya kujikimu,likizo, malimbikizo ya mishahara, na pesa ya KUPANDISHWA Madaraja pamoja na vyeo
2. Kulipwa pesa ya nyumba au kupatiwa nyumba Kulipwa gharama za usafiri au kupatiwa usafiri
3. Kulipwa posho ya kufanya kazi ktk mazingira magumu hii ni kwa walimu walioko ktk mazingira magumu.
4. Kulipwa posho ya kufundisha "teaching allowance"
5. KUPANDISHWA kwa KIWANGO CHA mshahara at least kilingane na watumishi ktk Kada zingine.
6. Kuboreshewa mazingira ya kazi ikiwemo kupata vifaa vya kujifunza na kufundishia ka vitabu, madarasa, maabara
7. Kurekebishwa kwa Sheria za kazi kandamizi zinazomuumiza mwalimu Kama sera ya KUJIENDELEZA KIELIMU na MASLAHI
8. Kupunguzwa kwa KIWANGO CHA kodi PAYE

Madai haya yote ni ya msingi, ila hapo kwenye red mmh. Teaching allowance si ndio mshahara wenyewe?
Ila kwa kweli dai la walimu kutokulipwa malimbikizo ya mshahara na pesa za uhamisho ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hata kama serikali inashindwa kulipa kwa mkupuo, wangetengeneza utaratibu wa kulipa kwa awamu kikanda au alphabetically na utaratibu huo kuwekwa wazi kwa walimu wote ili kila mdai ajue lini anategemea kulipwa pesa yake.
 
mbona madai yako wazi kabisa ni haya:-
1. Kulipwa kwa kwa madai ya walimu ambayo ni pesa ya kujikimu,likizo, malimbikizo ya mishahara, na pesa ya kupandishwa madaraja pamoja na vyeo
2. Kulipwa pesa ya nyumba au kupatiwa nyumba kulipwa gharama za usafiri au kupatiwa usafiri
3. Kulipwa posho ya kufanya kazi ktk mazingira magumu hii ni kwa walimu walioko ktk mazingira magumu.
4.
kulipwa posho ya kufundisha "teaching allowance"
5. Kupandishwa kwa kiwango cha mshahara at least kilingane na watumishi ktk kada zingine.
6. Kuboreshewa mazingira ya kazi ikiwemo kupata vifaa vya kujifunza na kufundishia ka vitabu, madarasa, maabara
7. Kurekebishwa kwa sheria za kazi kandamizi zinazomuumiza mwalimu kama sera ya kujiendeleza kielimu na maslahi
8. Kupunguzwa kwa kiwango cha kodi paye

posho gani hiyo iwekeni wazi hapokwenye red...jamaa kwa propaganda wanatisha kumbukeni umoja ndio utawafanya wote muwe salama la sivyo mtawaacha wengi
 
hapo ni patamu!. kidato cha sita kanda ya mashariki wapo kwenye mitihani sasa sijuwi itakuwaje.
 
acha umbea uliza kwanza sio unakurupuka Shule zinafungwa tarehe 3-8-2012, afu KUMBUKA Shule hazifungwi Kama Duka hata wakati wa likizo kazi huwa zinaendelea coz kuna madarasa ya mitihani, na zamu zipo Kama kawa
Ticha mchonganishi, mimi bado haujanishawishi kuona huu mgomo kama ni wa maana kwa tarehe kama hizo!. Maana hautawahathiri wengi mnaowafundisha. Ningewaona kuwa nyie vidume iwapo mngegoma mwezi june kama madaktari walivyofanya - maana wenzenu asilimia 98% ya madai yao yameshafanyiwa kazi kiaina ,mngegoma mapema ingeiwezesha serekali kuboresha madai yenu kwenye bajeti ya mwaka huu. Sasa mnaanza mgomo wakati bajeti ishapitishwa?. Basi subirini hadi september ili mkigoma na wanafunzi wa madarasa yote wawasapoti kwa kuipigia kelele serekali vinginevyo mnajifurahisha kwa mgomo mbuzi.
 
alafu kama hajui vyuo vya ualimu ndio vimefungua kama wiki hivi,wakufunzi nao wapo kwenye mgomo,wanahudumia zaidi ya wanachuo elfu ishirini.
 
Madai haya yote ni ya msingi, ila hapo kwenye red mmh. Teaching allowance si ndio mshahara wenyewe?
Ila kwa kweli dai la walimu kutokulipwa malimbikizo ya mshahara na pesa za uhamisho ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hata kama serikali inashindwa kulipa kwa mkupuo, wangetengeneza utaratibu wa kulipa kwa awamu kikanda au alphabetically na utaratibu huo kuwekwa wazi kwa walimu wote ili kila mdai ajue lini anategemea kulipwa pesa yake.

mbona wabunge wanalipwa sitting alloowance ili hali wanatimiza majukumu yao?
 
huu mgomo lazima utakuwa unaandaliwa na CHADEMA..maana haiwezekani bana kila siku nchi iko kwenye turmoils
 
Siku huzi kisingizio cha mahakama kimekuwa maarufu sana.

kuna siku hata hizo mahakama zitaanguka...haiwezekani serikali ikawa haina mbinu za ku deal na mambo ya maana inajichekesha chekesha tu na ku deal mambo ambayo sio priority
 
viongozi wa walimu bana...shule zinafungwa afu wanatangaza mgomo,wanagomea madawati au sensa? wajipange kwanza, dhaifu ni kichwa ngumu sana...:eek2:
 
Kwa madaktari walitolea kigezo cha kuwa wanalipwa zaidi kuliko kada nyingine kama Engineers, Lawyers, Wahasibu nk Propaganda hii ilisaidia sana kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya madaktari na kiwaona kuwa wanataka wapate zaidi kana kwamba kada nyingine si za muhimu. Sasa sijui kwa walimu watatafuta kigezo gani cha kuwachonganisha na wananchi.
 
I have never seen an hypocrit and weak president in Africa like JK in my entire time. A president who doesn't have a viosion for his country's people, the president who failed to commit and organise his government to fulfill his people's dreams of getting arid of poverty even alitle. AM NO LONGER PROUD OF BEING A TANZANIAN.
 
Baraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo upo kwa kuwa mahakama kuu divisheni ya kazi haijasitisha mgomo huo
Source Channel ten habari

Kuna harufu ya msitu mnene wenye chembe chembe za rang nyekundu,msitu uliojaa wanyamaa watumiao magar no plate namba...upasuaji usio na ganzi...mabwepandende
 
Kinachoendelea shule za kata ni elimuya mapinduzi ya kifkra kwa vijana wana jamii frm msiwe na wasiwasi na walimu hasa damu changa iliyo ingia ktk ajira
 
Back
Top Bottom