Cwt waipa serikali siku saba

I like the CWT slogan: "Together we stand, divided we fall". But they are always 'divided'!
 
Walimu tusikate tamaa,wataeleweka tu.NO PROGRESS WITHOUT STRUGGLE!ALUTA CONTINUA!VIVA TEACHERS!VIVA CWT!WE HAVE TO SHOW THEM WE ARE THE JACK OF ALL TRADES.AMAAAAANDLAAAAAAAA

Waalimu tuendeleeni mbele zaidi, CWT ina maadui wengi wamo walimu ambao wamekubali kubeba agenda ya serikali dhidi ya cwt, serikali inampango wa kukifuta chama hiki mchakato utaanza mara baada ya shule kufunguliwa. Mnakumbuka wabunge wa magamba walivyokishambulia CWT na mmoja akaonyesha kile ambacho ni mpango wa serikali kuwa walimu wapewe fursa kuamua kujitoa kwenye hiki chama. Amini nawambieni harakati za kupigania haki hasa za maslahi mazuri si rahisi. Serikali kwa miaka mingi imekua haiamini kama walimu wanaweza kugoma, siku 4 za mgomo uliopita ulikua somo kubwa kwa watawala hawa dharimu!

Walimu wangefunuliwa kidogo tu kujua lengo la serikali dhidi yao hakika wangeshikamana zaidi kuliko ilivyo leo, Tutakifuta cwt kwa mikakati ya serikali baada ya hapo serikali itashangilia ushindi na kiama ya walimu itakua hapo. Ma DC na ma RC wote wanamaelekezo ya kutekeleza hilo. hatua ya kwanza ni kuwa demote walimu wa kuu na ma headmasters ambao ni viongozi wa chama hiki hatua ambayo imeanza kutekelezwa sehemu nyingi nchini. Hatua ya pili kuna fomu zitasambazwa na kundi la walimu ambao nimewataja hapo juu kuwa ni 'wabeba agenda ya serikali' za kujiondoa cwt nazo zitasainiwa kisha hatua nyingine zitafuata yote haya yanatakiwa yakamilike kabla ya uchaguzi maana inaaminika chama hiki kina shabikia vyama vya upinzani na hasa CDM.

Wito wangu kwa viongozi wa cwt ngazi za juu, ili mbegu iote lazime ioze sharti mkubali kuumia kwaajili ya wanachama, haiwezekani kila mgomo tuishie njiani, mkubali hata kuwekwa ndani ila tunataka muonyeshe mfano ikiwa mtashindwa kirudisheni chama kwa wanachama watachagua wengine waliotayari kurisk. SAA IMEFIKA walimu kuchagua daring leaders na si ushabiki, walimu wa sekondari walifanya vizuri kwenye mgomo huo kuliko sisi wa shule za msingi huku sisi tukiwa wengi kuliko wao. Hebu tuthibitishe bila shaka yoyote kuwa we are teachers and all other proffesions root from us! SOLIDALTY FOR TEACHERS POWER FOREVER
 
Sio dharau kijana, tatizo hawana mshikamano, they are NOT focused and divided. Kujikomboa ni shughuri.
Ulitaka wawe focused na organised vipi ?Hukuona jinsi walivyoitikisa SERIKALI hadi wakaamua kutumia mhimili wao mwingine kuwakandamiza walimu?Acha dharau wewe angalia Part2 itakayofika. PATASOMEKA TU
 
Hiki chama cha walimu wakisajili kiwe cha siasa tuelewe viherehere sana
 
Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV

Vigezo vilivyotumika kuwaingiza waalimu kwenye taaluma yao vimewafanya wakose kabisa ujasiri wa kweli kwenye kupigania maslahi yao. Laiti walimu wangetambua nguvu yao na kuitumia ipasavyo..
 
Hata wewe ulifeli kwa ujinga wako ukasingizia walimu. Narrow minded.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani sasa hivi kila mtanzania amebumbuluka na kuwa mjasiri na kujua haki yake. Nipo kijijini msimamo walionao walimu kwa sasa hivi serkali wawe wapole na waangalifu. 1. Ukitangazwa tu mgomo watashiriki kikamilifu zaidi hii ni hasira ya wenzao waliopewa msukosuko mgomo uliopita. 2. Kuhakikisha watoto wao na ndugu zao wa karibu katu hawajikuwa walimu kama wazazi wao. Hii ni long plan. 3. Kumwaga sumu kwa wanafunzi wao ili wakue wakiichukia ccm na serkali yake eti hasa Nape (sijui ni kwa nini.) wako seriously. Propaganda ya kuhusu cwt serkali imechelewa. Wanadai kweli viongozi wengi wa cwt zamani walikuwa mamluki lkn kwa sasa eti wako wachache walio wazalendo. Kwa hiyo watafanya nao hao mapinduzi ili iwe fundisho kwa serkali zote zinazofuata kuwaheshimu walimu..
 
Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV

CWT SONGA MBELE, WALIMU VIJANA TUPO READY ANYTIME TANGAZENI MGOMO HATA LEO WE ARE READY TO RISK FOR THE SAKE OF OUR COUNTRY,

KWA SASA HUU MGOMO BARIDI UNAA ANGAMIZA TAIFA HERI IWEPO ACTIVE STRIKE THEN KIELEWEKE NCHI ISONGE.

Go Go Go Cwt dhaifu wakae chonjo saa mbaya
 
Back
Top Bottom