Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
naona imekubidi ukafungue akaunti yako faster...haya tupe majibu kwanini umeamua kuchukua mume wa mwanamke mwenzio na unamsababishia mama uchaguzi stress zisizo na kichwa wala miguu?.
Kama wewe ulifungua Id nyingine Juzi... Nyani haoni.....
 
Huwezi kujifananisha na mimi wewe, mtu anayeishia kunung'unika mitandaoni baada ya kuibiwa Mume... Mbaya wako ni mumeo tu basi sio Sabrina. Hata ukimtukana sana hapa Sabrina ataendelea kuwa Mbunge tu, hutaki kafie mbali huko.

vicheche kumbe hata bungeni wapo...hahahahahahahaha...mpe pole mama uchaguzi.
 
mume wangu anajielewa.
ameshalala na analala kila siku na mama uchaguzi.

Ino keshasema Komu ana mke mzuri sana kama Mnyarwanda na ana watoto wawili mmoja anaitwa Uchaguzi. Hapo juu tunaambiwa na huyo huyo Ino kwamba mumewe analala kila siku na Mama uchaguzi. Akili yako changanya na ya mbayuwayu ujue nini kinaendelea!
 
Wakwako mbona kachukuliwa husemi?ukicheche umeanza wewe kutembea na wanaume mke Wa mtu,iyo ilikuwa ni Njia ya kiku adabisha sungura mtu safi na mwenye kujiheshimu pole dada
 
Kwani kuliwa uroda kwnye gari kuna ubaya gani? kama hujawahi nawe jaribu, hata ukiliwa uroda kwenye bodaboda shauri yako. kuongea sio lazima waongee wote bungeni, yy anaweza kusoma uelekeo wa hona ili next time aje na nondo za maana. acha chuki binafsi ww, matatizo yako yaishie kwenu na kwa boyfriend wako....
Mwambie kaka
 
mbona mambo yote yapo hadharani
najiandaa kwenda kuzibandika picha nilizowapiga siku wanakura uroda garini pale chadema makao makuu ili kila atakayeingia ofisini ajionee.
Mara kiwangwa Mara chadema mja Wa laana wewe kwa mwanaume gani? Kichefuchefu
 
Mkuu heshima yako.... Sijakuona siku nyingi hapa.... Lakini Mkumbo ana wenzie wataweza kuzuia kina Sabrina wasiwe na mahusiano na Kina Komu? Tatizo ni kwamba haya mambo ni ya binafsi sana. Inawezekana uteuzi ukazingatia vigezo na baada ya hapo wahusika wakaingia kwenye mahusiano (Wakaiba waume wa kina Inocensia) na kuwaathiri watu kama kina INOCENSIA

Asante Gerrard haya ya Innocensia ya udaku wa picha sikuwa nimeona, niliongelea tu uwezo wake kama hao walioleta habari hii walikuwa na uhakika nayo maana ktk vigezo vya viti maalum kwa CDM CV zilihusika sana
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Kwa nini iwe Sabrina Sungura.Let us stop gossip

naona leo wamekuja in synergism. Cdm kuna mamluki wengi sana!! Wanajifanya wafuasi na wanachama wa cdm ili waweze kukitukana chama. Hivi kujiita mwana cdm ni sifa sana! Maana kila anayekuja na majungu anajiita cdm. Sijawahi ona mwana ccm akaja kumponda mbunge wake au kiongozi kwa kujifanya eti tujue wasifu wake. Huwa naona cdm tu ndo wanaleta cv za watu wa ccm.
 
Narrow mind always attack personality instead of issues/events.

SMALL minds discuss people, AVERAGE minds discuss events GREAT minds discuss ideas. Ujumbe huu nilipewa na lecturer wangu wa pathology in medical scul. It helps to differentiate people we are living with.
 
Narrow mind always attack personality instead of issues/events.

SMALL minds discuss people, AVERAGE minds discuss events, GREAT minds discuss ideas,GENIUS silently acts. Ujumbe huu nilipewa na lecturer wangu wa pathology in medical scul. It helps to differentiate people we are living with.
 
Bunge umeanza kulfuatlia tangu ln?umefaatilia kwa kikamilifu kiasi gan?unajua tofauti ya mbunge mwenye jimbo kamili na wa viti maalum?
 
Asante Gerrard haya ya Innocensia ya udaku wa picha sikuwa nimeona, niliongelea tu uwezo wake kama hao walioleta habari hii walikuwa na uhakika nayo maana ktk vigezo vya viti maalum kwa CDM CV zilihusika sana
Mkuu naona sasa umeelewa nini kinaeendelea hapa. TUNTEMEKE ndio Inocensia, lol!!! Thaks Invisible!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom