trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
ndio wale wale tu sema tofauti ni mmoja wa chadema na mwingine wa ccm ndio mana unatapa tapa kujaribu kumficha wa chadema kutokana na kuzidiwa na mapenzi ya chama kupita kiasi tu
Hoja ya usomi imepelekea wanasiasa wengi kuacquire credentials kutoka unaccredited Universities. Eidha kwa kukusudia,ama bahati mbaya.. Wengi wanaforce waitwe ma-Dr.na ma-Eng. Wakati nchi zilizoendelea,hawatambishiani elimu kama sisi.
Viongozi wa Marekani huwezi kusikia Dr so and so... Ijapokuwa wengi ni Phd holders..