CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

Fuatilia mijadala yake Bungeni, fuatilia kazi zake, fuatilia jimbo lake halafu ukimaliza rudi hapa utuambie tena ulichosema.
 
huyo ni zaidi ya mbunge.kimsingi huyu nifundisho kuwa elimukubwa sikilakitu linapokuja suala la uwakilishi.njoo musoma tukupe ilani yajimbo uone nikwakiasigani imetekelezwa,ulinganishe na majimbo mengine yanayoongozwa namagamba(first class graduates)ambao hawafanyi lamaana zaidi yakuficha pesazetu ughaibuni.
 
usomi bila utendaji ni bure.
Kusoma maana yake ni kukopi mambo yaliyokwisha andikwa na kuyakariri ili kuwaridhisha wale wanaoyaamini.
Kutumia akili vizuri ili kuwezesha maendeleo inazidi kusoma kwa kukariri madarasa vidato na majumba ya mihadhara.
Tatizo la wasomi wetu ni kwamba wanasoma mpaka pale tu walipofundishwa, hawawezi kuja na kitu kipya cha kwao kulingana na wakati na mazingira waliyomo.
Utasikia anayeitwa msomi akisema kama alivyosema 'fulani' namnukuu.
Hii ni akili mgando. Sema na wewe kwa upeo wako. Matambo pekee ni upuuzi, mimi ni shahada daraja la kwanza, mi ni professor n.k haitusaidii.
Kama hatuwezi kusema mtambo huu uliundwa na msomi fulani, hii mbinu iliasisiwa na fulani, hatuoni faida ya wasomi.
 
George W. Bush alikuwa na Diploma ya Business administration tu, sio kama Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Suala hapa mjue hata cdm kuna viongoz wenye elimu ya kawaida tu na iwe kuwashambulia wenzao wa ccm inakuwa geresha.
 
Duuu, kumbe jamaa O-level tu halafu anakimbiza namna hii? Kweli CDM ni noma, huyu angekua na Degree walau 1 tu Musoma nadhani ingekua kama London, najaribu kulinganisha wale waliosema wenyewe sio mawaziri wa mvua, mwingine hata historia tu hajui, eti Tanzania ni muungano wa Pemba na Zimbabwe (kumbuka hayo aliyasema kwenye mkutano wa kimataifa na alikua anasoma kwenye karatasi, means hotuba iliandaliwa na kuipitia kwanza) wengine wakadai wao sio Mungu so hawawezi kuleta mvua ndio maana tuna mgao wa umeme, wote hawa wanazo Degree, tena wengine zaidi ya 1, dogo Form 4 tu na anakimbiza, Big up Vicent Nyerere, umedhihirisha sio wote waliosoma na wakaelimika!
 
Mkuu utakuwa hujanielewa. Great minds discuss issues and ideas na sio watu.Humu ndani tuna tabia ya kudiscuss watu na sio issue za muhimu. Kwanini kujadili C.V ya Mh. Vincent Nyerere?

Majukumu yake si anayatekeleza kuliko hao Maprofessa? That is my point, kama sisi ni Thinkers kweli, tudiscuss issue tuache tabia za kudiscuss watu.

Tatizo la chadema ni safu nyembamba ya uongozi-samuel sitta.

Ndio mana mtu yeyote anaweza kuokotwa na kupachikwa ili mradi mambo yaende,rejea walivyomuokota John Shibuda leo anawahangaisha,yote hiyo ni kutokua na watu,sasa huyu kilaza anaweza kuwa na mchango gani zaidi ya kushawishi maandamano,kususa na migomo,mtu hana vision yupo yupo tu kisa nyerere family,poor chama cha masalia!
 
usomi bila utendaji ni bure.
Kusoma maana yake ni kukopi mambo yaliyokwisha andikwa na kuyakariri ili kuwaridhisha wale wanaoyaamini.
Kutumia akili vizuri ili kuwezesha maendeleo inazidi kusoma kwa kukariri madarasa vidato na majumba ya mihadhara.
Tatizo la wasomi wetu ni kwamba wanasoma mpaka pale tu walipofundishwa, hawawezi kuja na kitu kipya cha kwao kulingana na wakati na mazingira waliyomo.
Utasikia anayeitwa msomi akisema kama alivyosema 'fulani' namnukuu.
Hii ni akili mgando. Sema na wewe kwa upeo wako. Matambo pekee ni upuuzi, mimi ni shahada daraja la kwanza, mi ni professor n.k haitusaidii.
Kama hatuwezi kusema mtambo huu uliundwa na msomi fulani, hii mbinu iliasisiwa na fulani, hatuoni faida ya wasomi.
acha uongo wako,unamdanganya jamaa badala ya kumshauri ajiendeleze kielimu,mbona wewe umesoma vizuri na watoto wako unasomesha kwa bidii kamaelimu haina mpango kwa maisha ya sasa na yajayo unahangaika nini?!!
 
kiukweli huwezikumfananisha vicent na huyu pompopo.
ndio wale wale tu sema tofauti ni mmoja wa chadema na mwingine wa ccm ndio mana unatapa tapa kujaribu kumficha wa chadema kutokana na kuzidiwa na mapenzi ya chama kupita kiasi tu
 
Huyu ni kiongozi wa kuzaliwa sio kama viongozi wanaoiba vyeti hili waonekane wamesoma sana. Ebu tembelea kwenye jimbo lake uone maendeleo aliyoleta kwa muda mfupi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom