CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

ndio wale wale tu sema tofauti ni mmoja wa chadema na mwingine wa ccm ndio mana unatapa tapa kujaribu kumficha wa chadema kutokana na kuzidiwa na mapenzi ya chama kupita kiasi tu

Hoja ya usomi imepelekea wanasiasa wengi kuacquire credentials kutoka unaccredited Universities. Eidha kwa kukusudia,ama bahati mbaya.. Wengi wanaforce waitwe ma-Dr.na ma-Eng. Wakati nchi zilizoendelea,hawatambishiani elimu kama sisi.
Viongozi wa Marekani huwezi kusikia Dr so and so... Ijapokuwa wengi ni Phd holders..
 
Pesa na politics ni vitu viwili ambavyo haviitaji sana elimu ...kuna maprof kibao ambao hata kuongoza familia zao ni matatizo
 
acha uongo wako,unamdanganya jamaa badala ya kumshauri ajiendeleze kielimu,mbona wewe umesoma vizuri na watoto wako unasomesha kwa bidii kamaelimu haina mpango kwa maisha ya sasa na yajayo unahangaika nini?!!
Mkuu, mbona hujaitendea haki akili yako, nifafanulie uongo wangu nishawishwe na elimu ya kukariri. Shule tunapata elimu ya kufunzwa na wengine, maisha yanahitaji tuwe na akili ya ubunifu na kujiongeza.
 
Pesa na politics ni vitu viwili ambavyo haviitaji sana elimu ...kuna maprof kibao ambao hata kuongoza familia zao ni matatizo
Kinachojadiliwa sio uwezo wa pesa isipokuwa uwezo wa kuchanganua mambo na kukabiliana na mazingira yetu na matatizo ya jamii.
 
Kati ya V nyerere na mwanasheria mkuu wa serikali nani anaonekana mbumbumbu mbeld ya jamii?
 
Tatizo la chadema ni safu nyembamba ya uongozi-samuel sitta.

Ndio mana mtu yeyote anaweza kuokotwa na kupachikwa ili mradi mambo yaende,rejea walivyomuokota John Shibuda leo anawahangaisha,yote hiyo ni kutokua na watu,sasa huyu kilaza anaweza kuwa na mchango gani zaidi ya kushawishi maandamano,kususa na migomo,mtu hana vision yupo yupo tu kisa nyerere family,poor chama cha masalia!

Kama walivyomuokota sugu
 
Yaani kazidiwa hata na maji marefu. Harafu watu wanalalamika maendeleo
 
Kwahiyo chadema wakichukua nchi huyu ndiye waziri wa mambo ya ndani . Duh. Mshikaji hata diploma imemshinda basi hata cheti tu au high school . Hata ku re seat
 
Hakiika sikuwa najua kama jamaa ni O-level.
Upstairs yuko vizuri sana, naombea apige A-Level, maana atakuwa zaidi ya wabunge kama 50 wenye "PHD", na wale so called Harvard Graduates.
Tuko Pamoja Vincent.
 
Jamani ina maana JF wote ni upinzan kiasi mtu akipost CV za CCM wanacheka na ku comment in respect of their performance in the government.ILA ikiwa ya mwana upinzani ni kejeli,ooooh ulitaka wae na PH.D, umeshindwa la kufanya na mengine mengi negative. je JF ni kwa ajili ya kuwafumbia wapinzani na kuwaanika CCM?
Habari ndio hiyo mkuu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom