CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
Zamani darasa la kwanza walikuwa wanaanza mwezi oktoba au november kwa ajili ya kuwahi shughuli za elimu ya kujitegemea kilimo mashuleni, usishanga hilo, siku hizi halipo.


Mkuu sio kweli, mi mwenyewe nilianza shule miaka hiyo hiyo, kilicho kuwa kinatokea tulikua tuandikishwa shule mwezi 10 kweli lakini darasa utaanza mwaka unafuata kama kawaida, hata hicho cheti cha primary kitaonesha mwaka huo huo, tofauti pia ilikuwa sio kuwahi kuandishwa pekee yake, tulitakiwa kupimwa pia urefu wa mkono wako, je unagusa sikio?

Hii CV lazima ina namna tu, kama kweli alianza mwaka 1980 darasa la saba alipaswa kumaliza 1986, anyway mi namsamehe kwasababu mwenyewe alisema yeye ni Kichaa!
 
Nilitarajia kuona na elimu yake ya matusi ameipata katika chuo gani. Bila shaka ni hicho kilichompa certificate, yaani CCM college. Na kama yeye mwenye certificate anayaporomosha hivyo, itakuwaje wale makada wengine waliopata degree.
 
Unajua Tanzania kuna vivutio vingi vya watalii!! Crater kubwa yenye wanyamapori wengi inapatika TZ, mlima mrefu wenye barafu Africa unapatikana Tz, VIONGOZI watunga sera za kuiongoza nchi huku wakiwa na uelewa mdogo kielimu wanapatikana TZ peke ake!!!
AMAZING TANZANIA!!!!!!!!!!!!!
 
Mie nadhani vyeti havina umuhimu sana.......na kusoma si lazima uende darasani kwani hata uzoefu wa maisha ni shule tosha kabisa..........kuna watu wengi tu wan ujuzi na maarifa makubwa wakati elimu ni ya chini kabisa lakini hao wenye zao ndio wanachukua ushauri kutoka kwao...................Hata hivyo ubunge ni kazi ya kisiasa haihitaji elimu kubwa sana kwani maamuzi yake mengi ni ya kisiasa...... cha msingi uwape wapigakura wanachopenda hata kama hicho kitu hakina manufaa kwao.........ukienda jimbo la wavuta bangi ukijinadi kwa sera ya kuhalalisha bangi utapata ubunge........ukienda kwa walevi ukawaambia kwamba utahalalisha gongo utapata ubunge...... hivyo naona sifa ya kusoma na kuandika ni tosha kwa mbunge......labda wangeongeza kuwa awe na uwezo wa kupiga majungu, fitna na vijembe kidogo
 
Sina la kusema ninapoona cv kama hizi bungeni!!!

Member of Parliament CV


GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1694.jpg

First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary







source:Parliament of Tanzania
Asante sasa tumemfahamu Kibajaji; duh..................No wonder!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nchi gani hiyo mkuu? Mimi nilanza drs la kwanza 1981 sikuona huo mpango, na elimu ya kujitegemea ilikuwepo.

Mimi nilianza darasa la kwanza Mwezi Novemba na pamoja na darasa tukawa tunaanda shamba la shule kwa ajili ya msimu wa kilimo cha mahindi. Tulikuwa tunavuna magunia kama 100 hivi ambayo tulikuwa tunayatumia kwa ajili ya uji wa mlo wa mchana. Yakipungua wazazi walikuwa wakichangia debe moja. Labda ukanda ulikosoma wewe hawakuwa wakifanya hivyo, kwetu elimu ya kujitegemea mashuleni ilikuwa mtindo mmoja na darasa la kawaida.
 
Mkuu sio kweli, mi mwenyewe nilianza shule miaka hiyo hiyo, kilicho kuwa kinatokea tulikua tuandikishwa shule mwezi 10 kweli lakini darasa utaanza mwaka unafuata kama kawaida, hata hicho cheti cha primary kitaonesha mwaka huo huo, tofauti pia ilikuwa sio kuwahi kuandishwa pekee yake, tulitakiwa kupimwa pia urefu wa mkono wako, je unagusa sikio?

Hii CV lazima ina namna tu, kama kweli alianza mwaka 1980 darasa la saba alipaswa kumaliza 1986, anyway mi namsamehe kwasababu mwenyewe alisema yeye ni Kichaa!

Hata kipindi cha likizo tulikuwa na zamu ya kwenda shule kushughulikia bustani, shamba la kahawa na mengineyo. Hii inatokana na shughuli za shule zilivyo. Shule ambazo ni kitabu tu hawakuwa na sababu ya kuwa na ratiba kama hiyo.
 
Wanamtera nawasikitikia sana kwa kuchagulia galasa. Aibu ipo juu yao. Miktaba inaandikwa kwa lugha la Kiingereza. Je Lusinde huelewa kweli au kazi yake kubwa ni kugonga meza tu.
Sina la kusema ninapoona cv kama hizi bungeni!!!

Member of Parliament CV


GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1694.jpg

First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary







source:Parliament of Tanzania
 
Ndio maana ana tabia na muonekano wa kibuguruni buguruni tena antembelea sana Sewa Bar. Naona pia ni mlevi wa mapuya ya usukumani
 
hiyo shule ya msingi mbigili (aina ya miiba midogodogo ambayo husababisha sana pancha za baiskeli)aliyosoma ipo kijiji gani huku dodoma? maana mimi ni mkazi wa jimbo la mtera na sijawahi kuisikia hiyo shule . ipo wapi hiyo jamani kwa yeyote anyejua ! maana mvumi alipokulia haipo, loje haipo, ikombolinga haipo, makang'wa haipo! ndebwe haipo ! asije akawa kachakachuwa?
Inamaana unabisha hata la saba haja soma...lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom