CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
Ndivyo alivyo wenzake wakiongea kitaaluma yeye tusia.
Cv za magamba ni
1. kutukana,
2. bisha bila hoja,
3. iba mali za umma,
4. ua raia
5. majungu,
6.

Mwenye nyingine aongezee,ukiwa nazo hizo unafaa kuwa mbunge wa magamba kwani elimu si jambo la msingi.
 
Tatizo la Pro-Chadema JF wengi wao ni unafiki tukiweka CV za wabunge wa Chadema darasa la saba wanasema CV aina maana lakini CV zingine za darasa la saba wanaponda, mie CV zote darasa la saba sizikubali, na nitaendelea kupambana nazo.
 
Ukweli utabaki kuwa hivyo na pia soma sifa za mgombea wenu mojawapo ni matusi, bisha ukweli kwa nguvu zako zote.
Lazima Tanganyika yetu irudi mkitaka msitake, nyakati zimetimia.
 
Ukweli utabaki kuwa hivyo na pia soma sifa za mgombea wenu mojawapo ni matusi, bisha ukweli kwa nguvu zako zote.
Lazima Tanganyika yetu irudi mkitaka msitake, nyakati zimetimia.

Wewe mie sina ushabiki kama wewe unadhani mie naweza kutetea CV ya kipuuzi kama hii, kumbe wewe humjui Ritz
 
Last edited by a moderator:
Zamani darasa la kwanza walikuwa wanaanza mwezi oktoba au november kwa ajili ya kuwahi shughuli za elimu ya kujitegemea kilimo mashuleni, usishanga hilo, siku hizi halipo.

Nchi gani hiyo mkuu? Mimi nilanza drs la kwanza 1981 sikuona huo mpango, na elimu ya kujitegemea ilikuwepo.
 
Wewe mie sina ushabiki kama wewe unadhani mie naweza kutetea CV ya kipuuzi kama hii, kumbe wewe humjui Ritz

Nimjue ili iweje?acha ubishi usokuwa na tija.Wewe una ushabiki tu, unakumbuka suala la T.Kimanga nilivyokubana ukaingia mitini.Kama unamfahamu weka ufahamu wako zaidi ya hapo uache kudeda,gangamara toto la kiume.
 
Last edited by a moderator:
Nimjue ili iweje?acha ubishi usokuwa na tija.Wewe una ushabiki tu, unakumbuka suala la T.Kimanga nilivyokubana ukaingia mitini.Kama unamfahamu weka ufahamu wako zaidi ya hapo uache kudeda,gangamara toto la kiume.

Mie nikukimbie wewe, kwanza mie wala sikufahamu wala sikumbuki habari za Kimanga.
 
Simple & Clear, "Anaipenda elimu ila elimu haimpendi" . Kweli elimu inamjenga mtu hata kuongea. Kumbuka kauli zake kule Arumeru na baadae mahojiano ya kujisafisha Clouds FM kwa KIBONDEO utagundua elimu aliyonayo hata haitambuliki kwenye makaratasi....
 
mbona wakati wa cv za wabunge wa chadema mlisema shule siyo hoja bali hoja ni utendaji wa kazi ? ushauri wangu tusiwe na double standard kama kuwaponda wote wasiokuwa na shule basi tuwaponde kuanzia freeman mbowe kama kuangalia utendaji wao wa shughuli bila kujali shule basi tufanye hivyo kwa wote

Mkuu angalia na matendo ya mhusika tafadhari.
 
Amshukuru mzee tumbo(komba)kwa kumsaidia kwenda kugombea huko maana vinginevyo angebaki hivyo2,nguvu za waganga na wala si kingine.Chezea magamba wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom