Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
huko marekani na japani Wana shule hizi hizi za kata ambazo hazina walimu?Kama hujasoma huwezi kusimamia wasomi. Elimu kwa viongozi ni muhimu. Hv na ukilaza wako wa darasa la saba unaweza kumuhoji waziri mwenye degree???? Acheni ushabiki maendeleo ni taaluma. Jifunze korea, japan, marekani na kwngineko hakuna diwani darasa la tatu amsimamie mtaalamu mwenye degree ndo mwisho wake visa tu vya wivu wa maisha na maendeleo hakuna coz hata ukinunua shati kwa elimu yake na uwezo wake kifedha anadhani umeiba coz kwake ni ndoto na anaamini nawe huwezi kuwa navyo kama yeye