CV ya Mbunge wa Chadema Maswa Mashariki Hon, Sylvester Mhoja

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,933
32,342
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1743.jpg
First Name: Sylvester
Middle Name: Mhoja
Last Name:Kasulumbayi
Member Type:Constituency Member
Constituent: Maswa Mashariki
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 170, Ipililo Maswa, Shinyanga
Office Phone: +255 787 458107/+255 716 343727/+255 667 343727
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: skasulumbayi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1950
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Bugisi Primary SchoolPrimary Education--PRIMARY
Monduli Teachers' Training CollegeTeaching College19721973CERTIFICATE
Murutunguru CollegeCourse19781979CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Maswa East Constituency20102015
Maswa District Executive Director OfficeTeacher19732000
POLITICAL EXPERIENCE

JF Daima
:clap2:
 
MH. KOMBA - CV

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988
 
mbona ata wa ccm wanaelimu iyo.Mbona Lameck Airo mbunge wa Rorya ana elimu ya msingi? bora uyo alikua mwalimu
 
Cv ya mtu si hoja! Tuna ona watu wengi wenye degree kama mwigulu na hawana lolote.
 
Kuna watu hawakusoma enzi hizo kwa sababu ya ufinyu wa shule, ila wana ufahamu na uchungu wa nchi yao kuliko hata hawa maprofessor majizi. Kwa rais wetu ana doctorate ngapi na ametufanyia nini?
 
Namuunga mkono Genecius Kaiza kikubwa amechaguliwa kwa kufuata katiba ya nchi pia wabunge wa design hii ndio walioleta mabadiliko tangu enzi zile na wamefanya mambo makubwa. Kwa kuwa sasa hivi ubunge ni deal tunakuwa wavunja moyo japokuwa ambao wanajiona wana CV nzuri hawajitokezi. Kwa kumalizia nasema pamoja na kwamba nimesema CV sio hoja nadhani pia inabidi na wabunge nao kama umebahatika kuingia bungeni ujitahidi kidogokidogo kujiendeleza maana mbunge kama huyu akiamua hata wale watu wanaomcheka anaweza kuwapita kwani yupo vizuri
 
Last edited by a moderator:
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1743.jpg
First Name: Sylvester
Middle Name:Mhoja
Last Name:Kasulumbayi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Maswa Mashariki
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 170, Ipililo Maswa, Shinyanga
Office Phone: +255 787 458107/+255 716 343727/+255 667 343727
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: skasulumbayi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1950
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Bugisi Primary SchoolPrimary Education--PRIMARY
Monduli Teachers' Training CollegeTeaching College19721973CERTIFICATE
Murutunguru CollegeCourse19781979CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Maswa East Constituency20102015
Maswa District Executive Director OfficeTeacher19732000
POLITICAL EXPERIENCE

JF Daima
:clap2:
RITZ TATIZO LAKO HIZO PESA UNAZOPEWA NA CCM HAZIKUTOSHI NDIO MAANA UNAKESHA HUMU HUNA MAJUKUMU NI VUVUZELA LA MAFISADI HIZO PHD ZA CCM FAIDA YAKE NI KUUZA NCHI TU KWA MUKATABA YA KISHENZI KAMA MLIVYO WOTE WANA CCM USHINDWE WEWE NA WANAOKUTUMA:israel:
 
MH. KOMBA - CV

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988

Alafu hawaandiki mwezi alioanza na mwezi aliomaliza, hiyo diploma ya mwaka mmoja ya 1988 - 1990 na 1988 - 1990, hapa sijui diploma ya mwaka mmoja au sijui ni ipi maana huenda akawa aliingia November 1998 - March 1990 (hapa mwaka haujaisha). hata hiyo certificate ya Kleruu ina maana ualimu zamani walikuwa wanasoma mwaka mmoja
 
huko Kenya Jaji wa Mahakama Kuu amesema hivi:

By excluding everyone who does not have post-secondary education, I find that Section 22(2) of the Elections Act DISCRIMINATES on the basis of status and social origin.Corrupt and unethical practices have resulted into poor governance.A requirement for post-secondary education doesnot provide the remedy(Sunday Nation,July 1,2012 pg 13)
Sasa mimi naona CV huwa haifanyi kazi,wala Degree huwa hautunzi uadilifu.Aina ya Shahada walizokuwa nazo Mawaziri na Wabunge wetu zingegeuza nchi hii kufanana na Afrika Kusini kama zingekuwa na maana.Badala yake hata waliojisema ni Wachumi Daraja la Kwanza hoja zinakuwa muflisi!Kwani jamaa aliyemshinda Profesa Sarungi si kaishia Standard Seven?
 
Unajua lazima tujaribu kuondoa haya mawazo mgando! Kwa taharifa ya mtoa uzi huu mimi nina degree mbili ya kwanza nilitunikiwa na babu yangu baada ya kuweza kuchunga mbuzi na ngombe vizuri kwa miaka mitatu. Kwetu hii degree yangu ni first class with distinctions! Then baada ya hapo nilijiunga na hii elimu yetu na katunikiwa kadegree kamoja with honors! So huu ni utaratibu tu haijalishi una certificate au Poor Hair Distribution (PHD) kinachotakiwa ni kazi tu. kwani huyu Julius alikuwa na phd mbona amewazidi hao wote wenye level ya uprofesa?
 
Kama hujasoma huwezi kusimamia wasomi. Elimu kwa viongozi ni muhimu. Hv na ukilaza wako wa darasa la saba unaweza kumuhoji waziri mwenye degree???? Acheni ushabiki maendeleo ni taaluma. Jifunze korea, japan, marekani na kwngineko hakuna diwani darasa la tatu amsimamie mtaalamu mwenye degree ndo mwisho wake visa tu vya wivu wa maisha na maendeleo hakuna coz hata ukinunua shati kwa elimu yake na uwezo wake kifedha anadhani umeiba coz kwake ni ndoto na anaamini nawe huwezi kuwa navyo kama yeye
 
Back
Top Bottom