CV kwa Tanzania kwa kuomba kazi zinafanya watu kuwa waongo sababu tu wapate kazi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,744
Uwezo wa mtu mara ya kwanza upimwi kwa CV mnawaonea mature au wanao tafuta kazi mda mrefu bila kupata kazi.

Vigezo vinavyotakiwa unakuta mtu hata kimoja kakosa ila ndio Leo mnawatu wabovu wameendelea navyo mpaka Leo

Swala la CV linaumiza nchi hii kiukweli hata wenye ufanisi hawana thamani sababu ni kutaka CV.

USA hata ukifika Leo wanataka ulicho nacho sio Historia ya mwanzo wa umiliki wa bandari
 
Back
Top Bottom