Customs wa Arusha Wanalazimisha Rushwa hata kwenye sheria

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Hakuna kitu kizuri kama kujua sheria na haki zako
watanzania wengi tumekuwa tunakimbilia kutoa rushwa ukijua ni soln
ya matatizo.....,naomba wakuu wawachungulie hawa wahuni wa customs
pale arusha...kuna mizigo ilikuja arusha kupelekwa mwanza

akaamua kuingangania akijua watapata chochote..upuuzi wao umewafanya
wakagombezwa na mabosi wao kichekesho wanadai sie tulijua ati ni wapinzani
wao ..wakatumiwa email na kuonyeshwa kifungu cha sheria mzigo wowote umeachwa
na ndege husika na kukawa na ndege inayoenda hiyo sehemu basi bila kuangalia ni kilo ngapi
unatakiwa kupelekwa siku hiyo hiyo ....sasa hii ni kichekesho mwisho wanaomba msamaha
shenzi kabisa wanalazimisha kutoa pesa hata kwenye sheria..nahisi wanaitajika
kupelekwa shule na kujulishwa ujinga wao na awana mamlaka ya kusimama kama
airline wakati wao ni customs

ficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom