CUF yaiachia CHADEMA kata zote uchaguzi mdogo

Unafki wake ni upi..... embu jiulize wakati anapewa uenyekiti chadema ilikuwa na hali gani na sasa ina status gani??? Hauoni efforts zake kuimarisha upinzani hapa TZ?? Kila mtu ana madhaifu ya kibinadam ila kwenye nafasi yake ya uenyekiti kaitendea haki sana maana bila kustand strong chadema ingekuwa imekufa zamani sana ukizingatia nguvu ambayo ccm wametumia kuiua chadema kuanzia kupandikiza migogoro na propaganda za ukanda na udini ambazo zilichangia kuiua cuf hku bara but kwa mbowe ziligonga mwamba..... so kma wanachadema wenyewe wanamtaka bado sioni sababu kwanini ccm mhangaike naye sana
Nakubaliano na hoja yako na namsifu sana kwa kuimarisha upinzani na kukiweka chama tawala kilale na jicho moja wazi, ila kwa jinsi mauzauza anayofanya sasa nashawishika kusema Dr. Slaa ndiye aliyeimarisha upinzani, huwezi amini nilikuwa namsapoti mpaka alipobadili gia angani.
Unafiki wake ni kutokuwa na msimamo, akisema kitu kumbe hamaanishi. Aliujenga upinzani na Slaa ukawa imara ghafla akaja haribu kwa kupokea watu aliowaponda kuwa ni mafisadi na kuwaita ni wakombozi.
 
Acha chuki mkuu..Nadhani mtu ambaye ameleta upinzani wa kweli kweli ni ndugu Mbowe.Bila yeye kuwa na msimamo usio umbishwa upande wa pili wangekuwa wameshauzika ushindani hapa kwenye kaya yetu..

Mbowe ni mtu mwenye msimamo usioyumbishwa na amefanya makubwa sana kuifikisha chadema hapo ilipo leo.Kama sio jitihada zake za thati akishirikiana na viongozi wengine ndani ya chama leo ungekuta upande wa pili wameshakizika chadema na ushindani wa kweli ndani ya kaya yetu..Kwa maoni yangu Mboye ni tishio kwa upande wa pili sana.
Unajua maana ya kuwa na msimamo?? Asingempokea lowasa baada ya kumnadi kama fisadi.
Kuwa na msimamo ni kusema "A" ni "A" daima, sio leo ni "A" kesho unaiita "C".
Kaujwnga upinzani ila pia kwa sasa kauua.
 
Nakubaliano na hoja yako na namsifu sana kwa kuimarisha upinzani na kukiweka chama tawala kilale na jicho moja wazi, ila kwa jinsi mauzauza anayofanya sasa nashawishika kusema Dr. Slaa ndiye aliyeimarisha upinzani, huwezi amini nilikuwa namsapoti mpaka alipobadili gia angani.
Unafiki wake ni kutokuwa na msimamo, akisema kitu kumbe hamaanishi. Aliujenga upinzani na Slaa ukawa imara ghafla akaja haribu kwa kupokea watu aliowaponda kuwa ni mafisadi na kuwaita ni wakombozi.
Duh mbowe pekee ndo kamleta lowassa chadema?? Lipumba na slaa hawakuhusika kumkaribisha eeh?? Yaani slaa kamleta lipumba kampokea ila lawama ni MBOWE pekee ake.... duh mie nahisi una chuki binafsi na mbowe maana nachojua lowassa alikuja kwa baraka ya kamati kuu nzima slaa inclusive na pia vyama washirika so kma ungetaka kulaumu ulaumu wote kma UKAWA na slaa inclusive sio mbowe tu hyo lazma tutafsiri kma chuki binafsi
 
Ila hii dunia ni ya ajabu sana na pia mara nyingine matukio mengi ukiyatafakari sana utashangaa mno, hebu jiulize swali dogo hivi kwa nini wafuasi wengine wa Cuf wanampenda Lipumba aendelee kuwa Mwenyekiti wa chama wakat haonyesh jipya lolote miaka nenda miaka rudi. Nimeamin kwel chama cha Cuf kina vilaza wengi na ndio maana kina mashabiki weng kutoka maeneo ya mikoa ya pwani.
Mie chadema ndio kinaniacha hoi kabisa kkkkkk yaani wako kimya hawazungumzii tena ufisadi,kweli wajinga ndio waliwao.
Nalog off
 
Yaani hapo ndio CHADEMA inachotaka, sasa ngoja itokee CUF wamesettle alafu ukatokea uchaguzi mwingine , CUF wakaomba waachiwe ndio wataelewa kama CHADOMO ni watu au wanyama?
 
Duh mbowe pekee ndo kamleta lowassa chadema?? Lipumba na slaa hawakuhusika kumkaribisha eeh?? Yaani slaa kamleta lipumba kampokea ila lawama ni MBOWE pekee ake.... duh mie nahisi una chuki binafsi na mbowe maana nachojua lowassa alikuja kwa baraka ya kamati kuu nzima slaa inclusive na pia vyama washirika so kma ungetaka kulaumu ulaumu wote kma UKAWA na slaa inclusive sio mbowe tu hyo lazma tutafsiri kma chuki binafsi
Nawe mahaba yako kwa Mbowe ndo yanakufanya ujifanye haujui kwamba aliwekewa masharti magumu na Dr. slaa akayashindwa. Mbowe ni mwenyekiti hivyo ana sauti zaidi.
Lipumba kwa chadema kafikaje hapa??
 
Ulimsikia mkurugenzi wa NEC alivyosema? Kutokana na mgogoro huo kila mgombea lazima aidhinishwe na pande zote mbili hivyo hao watakao pendekezwa na kundi la Lipumba watapata wapi sahihi ya upande wa pili? Hapo tayari wamechemsha.
Namwonea huruma sana Sakaya kwa kuharibu future yake kisiasa baada ya kumfuata Lipumba anayefahamika wazi kuwa anatumika na ccm ambayo nayo inafutika
Hata mm nimesikitika sana Sakaya yuko makini na alikua na future nzuri sana kisiasa lakini sasa hivi dah ndo basi tena
 
Ila hii dunia ni ya ajabu sana na pia mara nyingine matukio mengi ukiyatafakari sana utashangaa mno, hebu jiulize swali dogo hivi kwa nini wafuasi wengine wa Cuf wanampenda Lipumba aendelee kuwa Mwenyekiti wa chama wakat haonyesh jipya lolote miaka nenda miaka rudi. Nimeamin kwel chama cha Cuf kina vilaza wengi na ndio maana kina mashabiki weng kutoka maeneo ya mikoa ya pwani.
elimu ndogo,kuendekeza udini na njaa
 
Unajua maana ya kuwa na msimamo?? Asingempokea lowasa baada ya kumnadi kama fisadi.
Kuwa na msimamo ni kusema "A" ni "A" daima, sio leo ni "A" kesho unaiita "C".
Kaujwnga upinzani ila pia kwa sasa kauua.
Kwa upeo wangu naona upinzani bado una nguvu hapa kwenye kaya yetu..na chadema bado wanakubalika na vijana walio wengi
 
Nawe mahaba yako kwa Mbowe ndo yanakufanya ujifanye haujui kwamba aliwekewa masharti magumu na Dr. slaa akayashindwa. Mbowe ni mwenyekiti hivyo ana sauti zaidi.
Lipumba kwa chadema kafikaje hapa??
Dah mkuu we umesema kosa la mbowe ni kubadili gia angani unasahau wakati anabadili gia slaa ndio alikuwa navigator wake.... kwa ufupi slaa alihusika kwenye kila level ya kumleta lowassa nashangaa unataka kumtoa kwenye lawama hii so bad unafanya character assasination ya mtu mmoja kwa manufaa yako.
 
Ila hii dunia ni ya ajabu sana na pia mara nyingine matukio mengi ukiyatafakari sana utashangaa mno, hebu jiulize swali dogo hivi kwa nini wafuasi wengine wa Cuf wanampenda Lipumba aendelee kuwa Mwenyekiti wa chama wakat haonyesh jipya lolote miaka nenda miaka rudi. Nimeamin kwel chama cha Cuf kina vilaza wengi na ndio maana kina mashabiki weng kutoka maeneo ya mikoa ya pwani.
Mbona umeangalia upande mmoja tu, ambao unautaka wewe, why usijiulize kinyume chake?
 
CUF ya SEIF dhaifu sana na CUF ya LIPUMBA imara sana
Nyie ndo mnamharibia lipumba bila kujua mpka inaonekana kweli anatumika. Maana iweje ccm wamsifie mpinzani ?? Kma ya seif ni dhaifu si ndio mumsupport sasa amuangushe lipumba ili mbakie na mpinzani dhaifu SEIF mumshinde kirahisi 2020??
Yaani mlimpiga virungu mwaka huu pale mtongani eti leo hii kawa IMARA kwenu?? Really?? Kma angekuwa mpinzani wa kweli na anawanyima usingizi kweli mngekubali aendelee kuwa mwenyekiti ili aendelee kuwanyima usingizi zaidi???
SHAME ON YOU
 
Ila hii dunia ni ya ajabu sana na pia mara nyingine matukio mengi ukiyatafakari sana utashangaa mno, hebu jiulize swali dogo hivi kwa nini wafuasi wengine wa Cuf wanampenda Lipumba aendelee kuwa Mwenyekiti wa chama wakat haonyesh jipya lolote miaka nenda miaka rudi. Nimeamin kwel chama cha Cuf kina vilaza wengi na ndio maana kina mashabiki weng kutoka maeneo ya mikoa ya pwani.[/QUunamaanisha sisi Wa pwani vilaza?
 
Kwenye mgogoro CUF inasimama pekee yake lakini cha ajabu inapotokea chaguzi CHADEMA wanajifanya wapo pamoja na CUF, hapo ndipo unapogundua CHADEMA ndiyo wanufaika wakubw wa mgogoro wa CUF, sasa wanachekelea kuachiwa kata zote ili wasimamishe wagombea kwa mwamvuli wa UKAWA.
 
Mie chadema ndio kinaniacha hoi kabisa kkkkkk yaani wako kimya hawazungumzii tena ufisadi,kweli wajinga ndio waliwao.
Nalog off
R u sure??? Kashfa ya lugumi hatukupambana??? Hukuskia hotuba ya kambi ya upinzani kupitia mnyika ilivyofufua makaburi ya ufisadi wa richmond,escrow sijui deep green n.k
Pia hujaskia chadema bado inadai rasimu ya warioba ambayo ina miiko mizito ya maadili ya uongozi itakaobana mianya ya rushwa na ufisadi wa watawala na raia wote kwa ujumla?? Huko sio kupambana na ufisadi????
 
Kwenye mgogoro CUF inasimama pekee yake lakini cha ajabu inapotokea chaguzi CHADEMA wanajifanya wapo pamoja na CUF, hapo ndipo unapogundua CHADEMA ndiyo wanufaika wakubw wa mgogoro wa CUF, sasa wanachekelea kuachiwa kata zote ili wasimamishe wagombea kwa mwamvuli wa UKAWA.
Bwana Mgale ulitaka mgogoro wa CUF Uwe unajadiliwa katika vikao vya Chadema? Umeshasema kwenye mgogoro CUF inasimama peke yake sasa hivyo si ndio inatakiwa?wakimaliza ushirika uko palepale
 
Kwenye mgogoro CUF inasimama pekee yake lakini cha ajabu inapotokea chaguzi CHADEMA wanajifanya wapo pamoja na CUF, hapo ndipo unapogundua CHADEMA ndiyo wanufaika wakubw wa mgogoro wa CUF, sasa wanachekelea kuachiwa kata zote ili wasimamishe wagombea kwa mwamvuli wa UKAWA.
Sasa wote si ukawa hakuna kinachopotea ..... swali je ulitaka cuf yenye pande mbili wagombea wake wawe loyal kwa nani??? Maalim au lipumba??? Sakaya kasema wanasimamisha kata zote hivo hawaitambui ukawa..... sasa ulitaka Cuf ya maalim na wenyewe waweke wagombea wao ama???
Sasa labda utoe suluhisho kuwa nini kifanyike sio kulaumu wakati hujui wanachopitia wenzako kwenye huo mgogoro
 
Back
Top Bottom