CUF wazindua kampeni '' MABADILIKO YA GHAFLA'' Jimbo la BUBUBU

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Issa-Khamis.jpg

CUF Bububu by-election legislator, Issa Khamis

WAKIMTAMBULISHA MGOMBEA UBUNGE ISSA KHAMISI

MBELE YA WANACHAMA WAO WAMESEMA CCM IMELITEREKEZA JIMBO HILO.

WAMEWAAMBIA WAANGALIE MFANO JIMBO LA MJINI MKONGWE LILIVYO NA MAFANIKIO
 
Hii picha lazima itoke IPP MEDIA, ina harufu ya ushabiki! Huyo mgombea alikuwa peke yake mkutanoni?
 
Subirini chadema waje huko bububu...........utasikia oh!udini mara wabara wengi n.k msijambe twaja huko....M4C for ever
 
CDM Mnaona Fiada za Kukubali Kuolewa? Nyinyi Mlikataa Ndoa ya CCM Mnapata Vipigo wenzenu CUF ahaaa Wanapeta TU. Kipindi cha Sensa wenyewe wanatwanga tu Mikutano na Kulindwa na PoliCCM. Kweli Ndoa TAMU
 
ifike kipindi tuukatae muungano,hcho chama kimekumbatiwa na chama cha magamba hakiwezi furukuta,na hyo ndoa itakuwa batili 2015,bibi harusi atachomoa maana aliekuwa bwana harus atagoma kugeuzwa kuwa bibi harusi,
 
Cuf na ccm ni wana ndoa ndo hao hao plus cuf pia ni uamsho... Hawapiti wanapoteza mda wao
 
wacha c.cm na cuf wapimane nguvu, chadema wakienda jussa atasema ataanza udini na ubara
 
Back
Top Bottom