CUF wanatuma salamu kwa UKAWA kwamba katiba za vyama vyao ni mbovu kuliko ya jamuhuri

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Huu ni ukweli wa wazi kwamba katiba nyingi za vyama vya upinzani ni mbovu sana kuliko hata hii ya jamuhuri ambayo wamekua wakiilalamikia hata kuunda umoja waliouita UKAWA.

Hili linajidhihirisha waziwazi kwenye mgogoro unaoendelea sasa ndani ya chama cha CUF ambapo tunaona Lipumba na kundi lake wanatafsiri yao ya katiba ya chama huku Maalim Seif na jopo lake nao wanatafsiri yao.

Si CUF tu,tukitizama hata CDM ambao wanalalamika Magufuli ni dictator lakini Mbowe anashikilia uenyekiti wa chama kwa zaidi ya miaka kumi sasa kama vile hakuna wengine wenye uwezo kwenye nafasi hio.

Haya yote yanatokea kutokana na mapungufu yaliopo ndani ya katiba zao.

Wapinzani wanapaswa kufahamu kwamba mmulika nyoka huanzia miguuni kwake.

Huu ni ushauri wa bure,wapinzani wanapaswa kuanza kushugulika na katiba za vyama vyao kwanza ndipo wahangaike na katiba ya jamuhuri.
 
hata kama katiba za vyama ni mbovu mwanzo mgumu sana
 
kwa hiyo CUF wanakubaliana na ukawa kuwa KATIBA ya Jamuhuli ni mbovu kisha haohao CUF Lipumba wanapewa maneno na intarahamwe.

swissme
 
Lipumba sisi CCM hatujamtuma na wala hajarumwa na yeyote, Ispokua huyu mzee Maisha yamembana kitaa. Anavitamani hivyo vi- miambili vya ruzuku ya CUF.
 
polisi wanafanya nini na kwa nini wamwingize kwa nguvu mpaka wavunje geti je polisi sio vijana wenu wa kazi?
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ndipo nilipo mfahamu vizuri Ibrahim Harun Lipumba, kama huamini nenda YouTube na andika, hotuba za profesa Lipumba, ipo moja hivi INA dakika 45, anasema mwenyewe kwa kinywa chake jinsi alivyo saliti upinzani ili mgombea wa ccm ashinde. Watu makini wote wanajua hi movie ya Lipumba haijaanza leo, bahati mbaya tu inafanywa na mtu aliyemaliza vyeti vyote vya shule za hapa duniani.
 
ndo maana aliweweseka sana alipokuja lowasa mana alijua mama yake ataondolewa kwenye kiti cha enzi akasema anajiuzulu amekuja kumaliza misheni ila sijui kama atafanikiwa
 
Polisi walikua wanalinda usalama wa raia, CCM wanahisikaje hapo?

watamlinda mpaka lini kwa hali ile na polisi wetu wanajulukana kwa waliyofanya vyama hivi lini wamekuwa walinzi wa viongozi vyama kwa hiyo unataka kuniambia walinzi wa viongozi wa vyama ni polisi sio?
 
Ndani ya katiba ya CHADEMA kuna kipengele kinachokataza mwanachama kutafuta haki mahakamani.Ukikivunja automatikale unakuwa sio mwanachama tena.
Aliyekiweka hicho kipengele kama anapinga udikteta Mungu anamuona.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mbona mnamuogopa mbowe sana????
Yaani mnatamani msikie katangaza kuachia.
Au ni kwa sababu anaendesha chama kwa mafanikio na kua tishio kwa ccm???
 
Back
Top Bottom