CUF kuiga sawa, lakini hata hili la kushika kichwa? Mmetisha!

Ndugu nakupa ushauri wa bure,hebu achana na siasa za fitina,ubaguzi etc,tuongelee ukombozi wa taifa letu,tunahitaji siasa safi za kuwasaidia wananchi wanaotaabika kila uchao,fikiri na chukua hatua,

Tanzania tulishapata uhuru siku nyingi ukombozi huo tunaikomboa toka mikononi mwa nani? Nipe sera acha majungu na uwongo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Katika kile kinachooneka ni dalili zakuishiwa ubunifu na mbinu za kukabiliana na upinzania wa CDM,Cuf wamezidikujidhirisha kuwa wamefikia ukomo wa mbinu za kupambana kisiasa ,Mengi yameongewa sitaki kurudia.Yote ikiwa ni kupambana na CDM. Ebu tujikumbushe machache ambayo yalianzishwa na CDM then nao wakavuata.Copy n Paste.
  1. Operation Sangara nao Wakaja na Operesheni ....................
  2. M4C nao wamekuja na ................................
  3. Isharaka ya kuwazomea au kuwalaani mafisadi ....Kushika vichwa na kulia uwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii nao wamefanya nini hapo chini?
View attachment 66949Wafuasi wa CUF wakishika vichwa kuwazomea vyama vya upinzani ambavyo vinawapa vijana viroba ili wafanye fujo.hili ilikuwa katika viwanja vya levolosi katika mkutano wao.

Mtatiro na Wenzako
:
“Imagination is the beginning of creation. You imagine what you desire, you will what you imagine, and at last, you create what you will” – George Bernard Shaw

Naomba kuwasilisha Niwatakie siku njema.ukiona Manyoa ujue ameliwa Watani leo :poa
Mbona wale waliotoka Buguruni waliokaa chini ndo wanaoshika vichwa! CUF walikuja kufanya uhuni na kutalii Arusha!
 
Tanzania tulishapata uhuru siku nyingi ukombozi huo tunaikomboa toka mikononi mwa nani? Nipe sera acha majungu na uwongo!ChamaGongo la mboto DSM
UKOMBOZI toka mikononi mwa wakoloni weusi - wanaovua magamba yanagoma; wanaiba na kusameheana. nadhani umenipata paolo!
 
UKOMBOZI toka mikononi mwa wakoloni weusi - wanaovua magamba yanagoma; wanaiba na kusameheana. nadhani umenipata paolo!

alaa kumbe ndio ukombozi unauongelea sasa wa kukukomboa ni nani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tanzania tulishapata uhuru siku nyingi ukombozi huo tunaikomboa toka mikononi mwa nani? Nipe sera acha majungu na uwongo!

Chama
Gongo la mboto DSM
Ukombozi wa kutoka kwenye watu wenye mawazo kama ya kwako. Fahamu kwamba mshikamano wa watanzania wa leo haufungamani na dini yo yote,kabila,ukanda nk. Kifupi wananchi wanaelewa nini wanataka kutoka kwa viongozi wao,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom