CUF ina mkosi gani?

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Siisikii CUF zanzibar na mikashikashi yake huku bara ndiyo kabisaa sijawahi waona huku mikoani tangu uchaguzi mkuu uishe zaidi ya uchaguzi wa Igunga walipopata aibu ya karne. Iko wapi ile CUF ya Mapalala iliyotingisha serikali bara na visiwani hadi kulazimika serikali kuingiza watu wao kuisambalatisha, ile CUF ya Seif imeenda wapi, labda sasa tutegemee hii mpya inayokuja ya Hamad Rashid. Hakika tunahitaji chama kingine cha tatu chenye nguvu baada ya CCM na Chadema.
 
Bado wako animuni ndoa bado changa mno we! tutawaona tena 2012 ikli wapate haki yao ya kura 2000
 
Tunajua nnacho kitaka ila mmekwisha hamfanikiwi kamwe nyie si walewale wa loliondo simnategemea mbebwe na wandishi wa habari ila ukweli ukidhihirika mtanyamaza kimpya kama babu wenu wa loliondo
 
KAFU wapo, wewe hukuona kwenye Television wakiwa ofisi yetu kuu (Ikulu) walipopeleka mapendekezo (rasmu) yao wakati waliishaiwasilisha zamani. Kwasasa KAFU wanakuwepokuwepo hata pale ambapo hawapaswi kuwepo. Wewe unategemea nini baada ya kuingia makubaliano na CCEMU ambayo wengine wanayaita ndoa ya mkeka?

Mwanzoni walionekana ni wakombozi na mabalozi wazuri kwa upande wa Zanzibari lakini kwasasa wamefulia. Wazanzibari kwa sasa hawana chama cha upinzani cha kuwakilisha mawazo yao mbadala, lakini wapo hata kama utasema hawavumi.

Suala moja ambalo nimelijua sasa ni kwamba CCEMU inaharibu akiri za wapi. Waweza kuorodhesha watu unaowajua wewe waliokuwa upinzani na sasa wapo CCEMU .... linganisha uwezo wao wa fikira na ujengaji wa hoja wakati huo (kabla ya kurudi CCEMU) na ujengaji wa hoja baada ya kurudi CCEMU. Mwangalie Lamwaiii, Tambweee na Wa-sila! kwa kutaja wachache.

Hivi ndivyo uzoefu unavyoonyesha pindi uafunga ndoa isiyokuwa na mshenga hasa katika mambo ya siasa za ghiriba.
 
tatizo la CuF ni udini, CCM walikuwa wanasema cuf ni chama cha kiislam lakini cuf haikuwahi kukanusha.
Rwakatare alifukuzwa Cuf kwa ajili ya chuki tu za kidini.
Cuf mkitaka kupata nguvu unganeni na UPDP

UDINI! UDINI! UDINI! UDINI!! Mkuu udini utakuteketeza! Kama huwezi kusakata kabumbu kaa juu ya jukwaa upige makofi na kuwashangilia wanaume zako.
 
Cuf hawaitaji kwenda mikoani kwa maana wana uhakika wa kukomba wabunge wote huku pemba,na ikumbukwe ya kuwa Cuf hawana nia ya dhati ya kushika dola
 
KAFU wapo, wewe hukuona kwenye Television wakiwa ofisi yetu kuu (Ikulu) walipopeleka mapendekezo (rasmu) yao wakati waliishaiwasilisha zamani. Kwasasa KAFU wanakuwepokuwepo hata pale ambapo hawapaswi kuwepo. Wewe unategemea nini baada ya kuingia makubaliano na CCEMU ambayo wengine wanayaita ndoa ya mkeka?

Mwanzoni walionekana ni wakombozi na mabalozi wazuri kwa upande wa Zanzibari lakini kwasasa wamefulia. Wazanzibari kwa sasa hawana chama cha upinzani cha kuwakilisha mawazo yao mbadala, lakini wapo hata kama utasema hawavumi.

Suala moja ambalo nimelijua sasa ni kwamba CCEMU inaharibu akiri za wapi. Waweza kuorodhesha watu unaowajua wewe waliokuwa upinzani na sasa wapo CCEMU .... linganisha uwezo wao wa fikira na ujengaji wa hoja wakati huo (kabla ya kurudi CCEMU) na ujengaji wa hoja baada ya kurudi CCEMU. Mwangalie Lamwaiii, Tambweee na Wa-sila! kwa kutaja wachache.

Hivi ndivyo uzoefu unavyoonyesha pindi uafunga ndoa isiyokuwa na mshenga hasa katika mambo ya siasa za ghiriba.
Tatizo lenu ni kuwa nyinyi hamjuwi siasa bali mnajuwa vuruguBasi! Kama siasa maana yake ni kuleta maendeleo na haki basi sijuwi kwanini mnataka kuwaona Wazanzibari hawajishughulishi na maendeleo. Kama siasa kwenu ni vurugu kutokana na kukosa ya kufanya Wazanzibari sasa wanayo mengi ya kufanya badala ya kupoteza muda na kupigishana kelele.
Kama siasa kwenu ni kwa pande mbili kutosikilizana na wagombane basi Wazanzibari wapo kwenye kidato cha kufahamu kuwa watu huelewana kwa mazungumzo na sio kwa kupigishana makelele.
Na kama damu za watu humwagika kwa sababu ya kutafuta suluhu basi damu za Wazanzibari zimeshafanya hivyo na tukizimwaga tena sijui tutakuwa tunazimwaga kwa sababu gani.

INDHARI: Zanzibar si siasa tu bali kwa mambo mengi ilmekuwa ni mwalimu kwenu basi jaribuni kujiepusha na mambo ambayo mwalimu wenu yalimtia dowa na sio kushangiria jambo msilolijuwa. Watu wawili Arusha zogo jee mkifika hali ya Zanzibar 2005 itakuwaje? Hatuhitaji wendawazimu wengine tulionao wanatosha!

Hivi ndivyo uzoefu unavyoonyesha pindi uafunga ndoa isiyokuwa na mshenga hasa katika mambo ya siasa za ghiriba.[/QUOTE]

Tatizo lenu ni kuwa nyinyi hamjuwi siasa bali mnajuwa vuruguBasi! Kama siasa maana yake ni kuleta maendeleo na haki basi sijuwi kwanini mnataka kuwaona Wazanzibari hawajishughulishi na maendeleo. Kama siasa kwenu ni vurugu kutokana na kukosa ya kufanya Wazanzibari sasa wanayo mengi ya kufanya badala ya kupoteza muda na kupigishana kelele.
Kama siasa kwenu ni kwa pande mbili kutosikilizana na wagombane basi Wazanzibari wapo kwenye kidato cha kufahamu kuwa watu huelewana kwa mazungumzo na sio kwa kupigishana makelele.
Na kama damu za watu humwagika kwa sababu ya kutafuta suluhu basi damu za Wazanzibari zimeshafanya hivyo na tukizimwaga tena sijui tutakuwa tunazimwaga kwa sababu gani.

INDHARI: Zanzibar si siasa tu bali kwa mambo mengi ilmekuwa ni mwalimu kwenu basi jaribuni kujiepusha na mambo ambayo mwalimu wenu yalimtia dowa na sio kushangiria jambo msilolijuwa. Watu wawili Arusha zogo jee mkifika hali ya Zanzibar 2005 itakuwaje? Hatuhitaji wendawazimu wengine tulionao wanatosha!
 
chama siasa lengo lake ni kushika dora CUF wako ikulu sasa wafanye nini cha ziada ndiyo maana walienda kumpongeza mkuu ikulu kwa kutia sahihi mkakati wa mswada wa katiba
 
UDINI! UDINI! UDINI! UDINI!! Mkuu udini utakuteketeza! Kama huwezi kusakata kabumbu kaa juu ya jukwaa upige makofi na kuwashangilia wanaume zako.
Kwenye haya uliondika vitu viwili vimejitokeza:
1. Udini
2.Ushoga
Sijakuelewa unachotetea kuhusu CUF
 
Cuf ni vuvuvzera, chumia tumbo basi. Angalia maalim seif alivyotulia! Hawatufai kabisa.
 
Hivi umebakia mda gani CUF wajifungue?? Au ni wagumba??

Ha ha ha ha ha! Mbona bado kidogo sana; wako chini ya uangalizi maalumu wa daktari - complete bed rest. Mkuu bado kitambo kidogo sana utasikia vigelegele kama mtoto atafanana na baba au matusi na talaka kama atakuwa na nywele za singa.

Ultra sound imeonesha wana mimba ya pacha - CUF-HR (CCM-D) na CUF-SH (CCM-B original) ila mmoja kakaa vibaya, katanguliza masaburi. Kaa mkao wa kula.
 
Back
Top Bottom