CUF: Huu ni ushauri wangu wa bure kwenu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Nawashauri viongozi wa chama cha wananchi (CUF) pamoja na wanachama wake,

Inawabidi mwache tabia ya uvivu na umangi meza,badala ya kukaa mjini na kula bata huku mkiwanyooshea wenzenu wa CDM vidole na kuwasengenya wakiwa katika shughuli zizao za kisiasa.

ni wakati sasa wa kutoka na kwenda vijijini kuwapa elimu wa raia wananchi. na siyo kulalamika hovyo maana sasahivi haijulikani nani mpinzani wenu kati ya (CCM,CDM,AU NI WANANCHI)
 
Playing a guitar a goat? Will it dance? Well, aliyelala ukimwamsha utalala wewe! Kalaga baho!
 
big up hapo umenena mkuu.mimi mwenyew huwa nashindwa kuwaelew kwan nguvuyao wameelekeza kwa CDM wakat hakipo madarakan hapo ndio naamin wanatumwa na mme wao.
 
Ni kweli kabisa umenena ni wakati wao wa kukijenga chama chao na si kupambana na wapinzani wenzao.

Kwakweli ni ushauri mzuri sana!
 
ukitaka kujua nani anamyoshea kidole mwezake kati ya cuf na cdm ingia hapa JF

Nawashauri viongozi wa chama cha wananchi (CUF) pamoja na wanachama wake,

Inawabidi mwache tabia ya uvivu na umangi meza,badala ya kukaa mjini na kula bata huku mkiwanyooshea wenzenu wa CDM vidole na kuwasengenya wakiwa katika shughuli zizao za kisiasa.

ni wakati sasa wa kutoka na kwenda vijijini kuwapa elimu wa raia wananchi. na siyo kulalamika hovyo maana sasahivi haijulikani nani mpinzani wenu kati ya (CCM,CDM,AU NI WANANCHI)
 
wee nenga kweli yaani huoni kashfa na mashambulizi ya CDM kwa CUF, sasa cuf wanajibu mapigo mnalalama kazi imeanza mpaka 2015
 
Back
Top Bottom