CUF hawataweza kushindana na M4C ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo...

CUF inatumika kuua upinzani. Haiingi akili yaani from no where mtu anaanza kushambulia CDM badala ya serikali mbovu ya CCM. Hivi ni kweli wamesahau waliyokuwa wanafanyiwa na CCM wakati ule wao ndio chama kikuuu? Hawajiulizi wameteleza wapi wanaanza kukimbilia kuua nguvu CDM. Hapo ndio naamini wanatumika.
 
Huu ndio ukweli. Hata wabunge wachache waliopo bungeni hawawezi kujenga hoja ILA vioja.
 
Ni kweli ulichangia, lakini umesahau kwamba CHADEMA inabebwa na mfumo Christo ambao uko well organized, ili hali CUF inabebwa na wakina yakhe ambao hawako well organized, hawana media za kutosha, hawana wasomi wengi ukiondoa wachache wakina Prof. Hata hivyo washabiki wa CUF wanaimani na Chama hiko na si rahisi kuhama. Kwa upande wa CDM mashabiki wake ni Oportunist ambao wanaweza kuhama na kuamia chama kingine kinachokaribia kushika dola
Mkuu nimekuelewa vizuri sana kumbe CUF ni chama cha waislam,ndiyo maana maandamano yake mengi huanzia misikitini,alafu kwenye mikutano yao hukaa kiibada yaani wanaume peke yao na wanawake peke yao bila kusahau unform ya kanzu na vibandiko.
 
kweli wafuasi wengi wa ccm b hawajitambui kabisa kila wakibanwa kwa hoja wao wanaletaudini kam huyu jamaa hapa toa sera jombaa naona unatoa pumba tu...........cdm haijabebwa na mfumo kristo..........ila dunia nzima inatumia mfumo kristo...angalia tarehe kama unabisha andika leo ni mwaka wa 1400 na ushe uone itakuwaje............
 
Nawasihi CDM wasipoteze focus kwa kuwajibu hawa cuf wanaochezeshwa ngoma wanayoijua, au wasiyoijua. Na nawaamini sana CDM kuwa wanaijua hii game!
 
Cuf sio chama cha upinzani tena wao ni watawala na wananchi wamewachoka watawala, so ongezea hiyo sababu
 
Uwezikujua, kwasababu si unaubongo mgando. Ukweli ni kwamba CDM na CUF hawagombani, bali CUF wanaona wivu CDM wanavyokwenda kuchukua nchi kwa msaada wa walala hoi ambao watawala wa ccm wamefanikisha kuwafukarisha kwa kujirimbikizia mali, Mungu ni mkubwa hakika anafanya kwaajili ya kuwainua wanyonge. Wewe unanang'ang'ania huko kwasababu unaroho ya kishetani ndio maana upo huko, lakini kumbuka utaukumiwa pamoja na hao majambazi wenzio wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom