People's TV au
Maendeleo TV
Unataka iitwe SAU? Kama chama cha SAU?Sauti ya umma
/People's voice tv

Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.

Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days

I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.

Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?

Ndugu Donyongijape, hiyo Television station ipo njiani kuja unachotakiwa kufanya ni kutunza hiyo pesa ili tukiihitaji iwe karibu mimi ni mdau namba moja hivyo hauna haja ya kuona imechelewa.
itakuwa tv ya ngumi,fujo, maandamano,tindikali,uchochezi na nyimbo za sugu zitakuwa mapambio baada ya mahubiri ya bwana padre
slaa
we utakuwa na undugu na wale mafisadi au unalipwa kwa kulamba viatu vyaoTv chadema itakuwa changamoto la mabadiliko ya kweli,,yule mzee wa kichaga na litv lake ataangalia na wake zake,,simpendi sana yule babu