CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

Aliyekuambia Tanzania Daima ni la CDM kakudangany. Kama unajua kupima habari angalia habari inazoandika Tanzania Daima zinazohusu CDM, na habari inazoandika Uhuru zinazohusu CCM, kama huko kishabiki utaona tofauti kubwa. Hakuna siku Uhuru inaweza andika habari za CCM zenye mtazamo hasi, lakini Tanzania Daima linaandika habari za CDM hata zikiwa hazitakiwi na Wana CDM.
Wewe acha kujifanya hamnazo, Tanzanis Daima ni UHURU la CDM na sasa limechoka mbaya! Yaani limechuja kupita maelezo!
 
Jibu maswali:

1.Source ya habari?
2.Coverage yake??
3.Online au Analogie/Digital?

HARAKATI TELEVISION:::::HTV
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema.kimepanga mikakati mikubwa ya kufungua kituo cha matangazo ktk television.wadau mnaombwa kutoa maoni ya kupendekeza jina la kituo. Je unataka kiitwaje?
<br />
<br />
 
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?

kwani JF ni ya CHADEMA, na TANZANIA DAIMA halimikiwi na CHADEMA kama lilivyo UHURU/ MAZALENDO
 
Wewe acha kujifanya hamnazo, Tanzanis Daima ni UHURU la CDM na sasa limechoka mbaya! Yaani limechuja kupita maelezo!


Unaota ndoto za mchana hizo ndugu, tanzania daima linazidi kupasua mawingu na sasa inakuja tv na radio naona mtakimbia nchi mwaka huu.
Naunga mkono hoja tupo tayari kuchangia hiyo tv.
 
Utaona CCM nao wanaiga soon ingawa wana TBC, ITV na Star TV!! Hongere CDM.....!!! Nasubiri FaizaFoxy aseme!!
 
Chadema bana... yaani wao ni 🥁 wakiongozwa na kilaza SUGU ....
 
Ungeanza na redio tungeona uko serious maana hiyo haihitaji uwekezaji mkubwa, hayo ya CTV yangefua baadae. Au kama vipi tengeneza ya kwenye internet watu waone online.
<br />
<br />
ndg, kwani ATN ya mhubiri fernandes ina kituo cha redio?
 
Mods kumekuwa na thread zaidi ya 3 zinazohusu Chadema tv lakini hamjaziunganisha. Au kwasababu haziipondi Chadema?
 
Back
Top Bottom