Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

sasa kama sio kwa shikamoo nini jitu kubwa lipo kwa mjomba au kwa wazazi
na matambo kibao mjini heshima kaunta
jamaa kajikomboa kwa kweli sio mchezo

Yaani ukipiga hatua fulani shida...usipopiga hatua na yenyewe shida...
 
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...

Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna

Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka

Mkuu ndo maana nikasema wabongo sifieni hata kidogo
Jamaa kajitahidi kaachana na kunywanyaswa na wenye nyumba
Yuko kwake hata kama sio ya hadhi yake ila yuko kwake
Hata kama wananyonywa na hao jamaa ila amejitahidi
Hongera Pro J
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

half a loaf is better than none-huu msemo una apply kila kona ya bongo..
 
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...

Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna

Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka

Ukiwa nayo nzuri...oohh sio sanaa peke yake atakuwa anauza na madawa ya kulevya...lol
 
Atakuwa alianza kuijenga miaka mingi sana maana hiyo aina ya kigae hata kutengenezwa hakitengenezwi tena
 
Atakuwa alianza kuijenga miaka mingi sana maana hiyo aina ya kigae hata kutengenezwa hakitengenezwi tena

,,,,Ha ha haaaaaa,daaah MBAVU zangu,hii MIJAMAA inachunguza mpaka KIGAE gani na TOLEO lake ni lipi?????walaaah hamfai nyie watu,im OUTTTTT!!!!!
 
Good crib and congrats to him..ila maendeleo yake hayaendani na mda ambao amekuepo kwenye gemu....bado kuna unyonyaji sana kwenye bongo music industry...me naona kama angeendelea kufanya kazi kule mobitel angekua mbali zaidi ya hapo..just sayyin
 
Prof Jay

Hongera Mwana. Big Up sana.

HAWA WANAOKUKASHIFU HUMU jf hawana hata kiwanja cha 10 kwa 10.

Wivu tu Umewajaa
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

kweli we ni ****!
 
Ee bwana u mjomba kajaribu ispokuwa sanaa hailipi. Mombasa kenya wasanii hawana hata rukwama licha gari, nyumba ya kukodi alafu haina hata umeme. Mpeni prof. Jize dole gumba asili mia mia.
 
Spacio, Corola na Rav 4 ndio mikoko ya kufa mtu?.,ama kweli vipofu tupo wengi
 
ndio hili hekalu la mbezi??? maana nilisikiliza clouds ktk kipidi fulani kama 2006/7 walikuwa wanasema jay kaporomosha hekalu tena ghorofa matata sana maeneo ya mbezi. kwa album zote zile nilitegemea awe na hekalu la ukweli
 
si haba,wengi jf hatuna kama hivyo japo alitakiwa kuwa zaidi ya hivyo
 
wabongo kwa kuponda hawajambo
Duh sifieni hata kidogo

Kusifia sio kazi mbona.....
Hili ni jukwaa la celebrities, hivyo mashabiki wa Jay mjikaze tu coz jamaa inabidi apimwe kwa vipimo vya u-celebrity wake.
Ndio maana analinganishwa na wenzake wa nchi mbali mbali....
Ingekuwa nyumba yako hiyo Mr Rocky, ningeisifia hadi kwa kinyakyusa!

kipato chao kidogo...kwa mfano..onyesho kama fiesta prof jize anazunguka mikoa zaidi ya kumi..lakini anavyolipwa! Only god knows...sugu alisema hv..nanukuu (watu wanasema kuwa wasanii hawaendelei kwa sababu wanapenda starehe sana..je? Msanii angetoa albam then akalipwa m500 atawelewea yote? Anaweza kunywa bia za m500?) hapo inaonyesha dhahiri sanaa ya bongo ni ngumu..kwa mapato ya muziki prof jize angekuwa na vinyumba na vigari kama hivyo mara mia! Nyumba moja unajenga miaka kumi? Halafu unajipongeza wakati kwa kipaji chako nyumba hiyo ungejenga kwa miezi miwili? Clouds fm waliokuwa wadau wakuu wa wanamuziki wa kizazi kipya mna kesi ya kujibu!!!!!
dah kaka umenena kila kitu hapo hata kuongezea naogopa ntaharib......clouds bwana....dah
 
Jamani nasikiaga kuwa lady jd kawafunika wasanii wote kimaendeleo aliye karibu naye atupe ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom