Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

Nasikia Juma Necha ana majumba Temeke, sijui ndio zile nyumba za mbavu za mbwa?
 
Yani hcho kibanda na hvyo vikopo hapo nje ndo alvyokuwa anapgia kelele kuwa et muziki ndo umempa hayo mafanikio? Kwa muda aloanza music na kwa umaarufu alokuwa nao kwa miaka yote mi nadhan c mtu wa kumiliki hvyo vidude.. Radio an Weassle hawana muda mrefu katika music industry n pia hawana nyimbo nyingi lakin mafanikio waliyopata si ya kitoto.. Ama kweli clouds ni wanyonyaji wasiofaa.
 
Hongera Jay na Pia pole haukupaswa kua hapo ebu angalia jose kamilioni bebe cool boby wine wapo mbali ingawa umewapita mda wa kukaa kwenye game,hongera kwa kupata sehemu ya kujikinga na mvua
 
Nyumba iko poa, ila hivyo vigari kwa hadhi yake mh! Benzi yake iko wapi, si niliskiaga ana benzi?
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

Acha kubeza maisha ya mwenzako! penye kusifia sifia2.
 
WaTZ ndo hapo 2 mnapokosea kuwalaumu Clouds2 na kuwasahau wadosi , producers na wachoma cd...
 
ila tambua kuwa Prof J ni mtaalam wa IT ana Diploma yake,na kabla ya mziki nadhani alikuwa Tanga kikazi,so ni mtu ambae anamaono ya mbali sana maana kama mziki ungekuwa ndio chanzo cha mapato pekee basi mtu kama feroozi angekuwa mbali sana,lakini nasikia kauza hadi Gari kabaki mweupe

unaweza ukawa na pesa lakini usiwaze kujenga wala kununua magari ukafikilia kuvaa mashati ya Hongkong na kujirusha kwa kutaka kuwakoga watu

Hongera mkuu

acha kubwabwaja, Prof Jay amesomea IT chuo gani na mwaka gani???
tanga alienda fanya kazi mobitel km form 6 leaver na kilichompa ajira kule ni umaarufu aliokuwa nao wakati ana hit,
 
mapimbi acheni kukandia kwakuwa mnapolala hapaonekani!naamini mtu mwenye nyumba nzuri kuliko hiyo hawezi kutimba bali atatoa credit kwa mwana!mademu wote wa bongo walivyojaaliwa maumbile na starehe za kupaishana unafanya mchezo kusimamisha matofali ukatoa kitu kama hiko!kama unaishi kwa baba au shemeji lazma utimbe!......
 
Sio siri kwa sanaa ya bongo ilivyongumu kimaslahi nakupa big up niggah Jay..afadhali yako wewe una chakuwaachia wanao.japo ulistahili zaidi ya hicho.
 
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...

Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna

Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka
 
Jamani mbona nyumba ni nzuri. wangapi mnyo kama hiyo, au ndo kazi yenu kuwapangia watu vya kutumia ili hali nyie hamna kitu. apewe hongera zake, hapo hata akina chameleon wakija bongo watapata pa kufikia badala ya kufikia kwa nyumba ya kupanga. hiyo ni hatua kubwa sana kwake hasa kwa kipindi hiki ambacho wananyonywa sana
 
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...

Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna

Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka

TF humu ulimwenguni kuna watu na viatu
wangapi wameshika nafasi mbalimbali lakini hawana hata kiwanja mbali na nyumba
wengine kelele bure wakati wanalala kwa shikamoo na kula kwa shikamoo

:focus:
hongera profesa J
 
TF humu ulimwenguni kuna watu na viatu
wangapi wameshika nafasi mbalimbali lakini hawana hata kiwanja mbali na nyumba
wengine kelele bure wakati wanalala kwa shikamoo na kula kwa shikamoo

:focus:
hongera profesa J
Hahahaha!! Hii kali kweli aisee:lol:...
 
Back
Top Bottom